Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
Safi sana, kwa sasa share zao ni kiasi gani kwa moja?NMB niko kitambo Sana. Ndiyo wanunuzi wa mwanzo kabisa wa Share kwenye Primary Market. Nilisharudisha mtaji muda. Nakula faida tu. Na mwaka 2023 tutapata gawio zuri Sana.
JournalismChuo ulisomea nn mkuu?
Najitahidi sana. Kuhangaika😥😥 Pole mani. Pambana sasa
Unaishi mkoa gani?Najitahidi sana. Kuhangaika
Nipo dar es salaam Kwa sasaUnaishi mkoa gani?
Njoo inbox tuteteNipo dar es salaam Kwa sasa
Naona dogo anapata connection hapahapa Jf,Njoo inbox tutete
Nataka nimpeleke masasi kwenye mahindi mjini kuwanawapoteza hawa madogoNaona dogo anapata connection hapahapa Jf,
Endeleeni kutumia bank ya Kitanzania inayofanya kazi Kitanzania na Watanzania wote
NMB PLC could be the Best choice of you.
Very true hata Mimi nimeamini aise kupitia kwa huyu MD.Mwanamke akiwezeshwa anaweza
Nataka nimpeleke masasi kwenye mahindi mjini kuwanawapoteza hawa madogo
Mimi mwenyeweNani aliyekwambia masasi kuna mahindi?
Bei ya Leo 10 November , 2023 (closing price) ni TZS 4,660 kwa share moja. Nilinunua TZS 600 Primary Market.Safi sana, kwa sasa share zao ni kiasi gani kwa moja?
Nafikiri hao wanasiasa hawastahili sifa yoyote zaidi ya wizi. Pengine mkurugenzi anashika nafasi ya kwanza.View attachment 2805767
MS Ruth Zaipuna Mkurugenzi Mkuu NMB.
======
Wasalaam Jf team,
Waswahili tunasema " Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake Mpeni "
Sote tunakumbuka baada ya NBC Bank kuvunjwa Mwaka 1997 na baadae kuanzishwa kwa Benki mpya ya Makabwera ya NMB na baadae Benki hiyo kubinafsishwa kwa Rabobank ya Uholanzi iliyomiliki hisa asilimia 49 na Rabo baadae kumuuzia baadhi ya Shea Arise,
Wakati wote NMB PLC imekuwa ikiongozwa na watu kutoka nje ya nchi tu isipokuwa huyu Mkurugenzi wa Sasa Bi Ruth Zaipuna aliyekabidhiwa nafasi hiyo ya Ukurugenzi Mkuu rasmi mwaka 2020.
Kumbukumbu zinaonesha wakati mama huyu anaingia madarakani NMB bank ilikuwa na matawi yapatayo 100 tu nchi nzima na ATMs zipatazo 500 nchi nzima.
Leo NMB bank imefikisha matawi zaidi ya 230 na ATMs zaidi ya ATMs 1,000 na mawakala zaidi 12,000 nchi nzima hii ni sawa na kusema mama huyu ameikuza bank hii ya Makabwera kwa zaidi ya marambili, yaani ukuaji wa 100% au kwa lugha rahisi ni sawa na kusema NMB bank PLC imefika katika Kila Jimbo la Uchaguzi la kiserikali haba bara.
Kutoka katika tovuti ya NMB taarifa zinaonesha NMB bank ilikuwa na wateja wasiozidi 600,000 miaka kumi iliyopita na wakati huu wa Ruth Zaipuna banki hii imefikia wateja zaidi ya 6M nchi nzima,karibu mara kumi zaidi.
Kuhusu Uzalendo & Uzawa Kunajambo la kujifunza kwa hawa wanawake watatu yaani Rais Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan, Spika wa bunge la JMT na IPU Mhe Dkt Tulia Aksoni na Mkurugenzi Ruth Zaipuna kwa namna wanavyoleta mabadiliko ya kasi kwenye taasisi wanazoziongoza,
Hebu tazama orodha hii ya faida kwa mabenki kumi ya Tanzania yaliyofanya vizuri katika robo ya tatu tu ya mwaka huu wa 2023 ndio utaelewa vizuri nachosema kuhusu huyu Mkurugenzi.
1. NMB Bank: TZS 398 billion
2. CRDB Bank: TZS 280 billion
3. Stanbic Bank: TZS 95 billion
4. StanChart: TZS 64 billion
5. NBC Bank: TZS 62 billion
6. Citibank TZS 44 billion
7. PBZ TZS 41 billion
8. Exim Bank TZS 40 billion
9. Absa Bank TZS 37 billion
10. KCB Bank TZS 35 billion
Taarifa zinaonesha faida ya Jumla kwa mabenki yote Tanzania ni shilingi trilioni moja katika robo hii ya tatu, Hii ni sawa na kusema NMB PLC pekee anamiliki 40% ya faida yote huku ikimpiku kwa mbali mshindani wake wa karibu CRDB bank kwa zaidi ya TZS 118 BL sawa na 70% ya faida yake.
Wakati Ruth Zaipuna anakuwa Mkurugenzi Mkuu Benki hii ilikuwa na wastani wa faida ya TZS 200BL baada ya kodi wakati Leo faida imekuwa na kufikia wastani wa karibu TZS 400BL kwa mwaka yaani sawa na marambili zaidi.
Pia, taarifa zinaonesha Benki ya NMB inashika nafasi ya sita kwa Ukubwa katika nchi zote Kusini mwa jangwa la Sahara na ndio Benki pekee toka Tanzania inayoshindana kimataifa katika ukubwa wa Biashara.
Watanzania tuna la kujivunia toka kwa Mkurugenzi huyu mzawa akisaidiwa na management nzima ya NMB PLC pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa NMB PLC chini ya Dkt Edwin Mhede, Hakika Mmestahili Heshima.
Kwa msiofahamu Mwaka 2021, Benki ya NMB chini ya Ruth Zaipuna ilitambuliwa na kutunukiwa tuzo saba za kimataifa
ikiwemo tuzo ya Euromoney ya Ubora, ikiitambua benki ya NMB kama Benki
bora Tanzania (kwa miaka tisa mfululizo) na tuzo kutoka Jarida la Global
Finance ikiitambua benki ya NMB kama benki salama zaidi Tanzania.
Pia mwaka 2021, benki ya NMB ilitambuliwa na kupewa tuzo na Mamlaka ya
Mapato Tanzania (TRA) ikiitambua kama mlipa kodi mkubwa zaidi kwenye
sekta ya fedha na pia mlipa kodi mkubwa namba tatu kwa ujumla nchini hii ni chini ya Ruth Zaipuna.
Kwa matokeo haya, Huenda Ukimwacha Rais Dkt Samia na Spika Dkt Tulia mwingine ni huyu Ruth Zaipuna wa NMB PLC deserves better.
Huyo mama na chairman wake wa Bodi, mtu wa system, ni wezi wa kutupwa.Aiseeee, kumbe Watanzania Tunaweza tukiaminiana
View attachment 2806498
NMB chief Ruth Zaipuna among women CEOs driving growth in Africa
A new report lists 93 women leaders from 17 African countries driving private sector growth on the continent.www.thecitizen.co.tz
CRDB wanazidiwa na mpesa wana songesha,na mikopo midogo inayolipika kirahisi.Ushindani unaenda kasi sanaView attachment 2805767
MS Ruth Zaipuna Mkurugenzi Mkuu NMB.
======
Wasalaam Jf team,
Waswahili tunasema " Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake Mpeni "
Sote tunakumbuka baada ya NBC Bank kuvunjwa Mwaka 1997 na baadae kuanzishwa kwa Benki mpya ya Makabwera ya NMB na baadae Benki hiyo kubinafsishwa kwa Rabobank ya Uholanzi iliyomiliki hisa asilimia 49 na Rabo baadae kumuuzia baadhi ya Shea Arise,
Wakati wote NMB PLC imekuwa ikiongozwa na watu kutoka nje ya nchi tu isipokuwa huyu Mkurugenzi wa Sasa Bi Ruth Zaipuna aliyekabidhiwa nafasi hiyo ya Ukurugenzi Mkuu rasmi mwaka 2020.
Kumbukumbu zinaonesha wakati mama huyu anaingia madarakani NMB bank ilikuwa na matawi yapatayo 100 tu nchi nzima na ATMs zipatazo 500 nchi nzima.
Leo NMB bank imefikisha matawi zaidi ya 230 na ATMs zaidi ya ATMs 1,000 na mawakala zaidi 12,000 nchi nzima hii ni sawa na kusema mama huyu ameikuza bank hii ya Makabwera kwa zaidi ya marambili, yaani ukuaji wa 100% au kwa lugha rahisi ni sawa na kusema NMB bank PLC imefika katika Kila Jimbo la Uchaguzi la kiserikali haba bara.
Kutoka katika tovuti ya NMB taarifa zinaonesha NMB bank ilikuwa na wateja wasiozidi 600,000 miaka kumi iliyopita na wakati huu wa Ruth Zaipuna banki hii imefikia wateja zaidi ya 6M nchi nzima,karibu mara kumi zaidi.
Kuhusu Uzalendo & Uzawa Kunajambo la kujifunza kwa hawa wanawake watatu yaani Rais Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan, Spika wa bunge la JMT na IPU Mhe Dkt Tulia Aksoni na Mkurugenzi Ruth Zaipuna kwa namna wanavyoleta mabadiliko ya kasi kwenye taasisi wanazoziongoza,
Hebu tazama orodha hii ya faida kwa mabenki kumi ya Tanzania yaliyofanya vizuri katika robo ya tatu tu ya mwaka huu wa 2023 ndio utaelewa vizuri nachosema kuhusu huyu Mkurugenzi.
1. NMB Bank: TZS 398 billion
2. CRDB Bank: TZS 280 billion
3. Stanbic Bank: TZS 95 billion
4. StanChart: TZS 64 billion
5. NBC Bank: TZS 62 billion
6. Citibank TZS 44 billion
7. PBZ TZS 41 billion
8. Exim Bank TZS 40 billion
9. Absa Bank TZS 37 billion
10. KCB Bank TZS 35 billion
Taarifa zinaonesha faida ya Jumla kwa mabenki yote Tanzania ni shilingi trilioni moja katika robo hii ya tatu, Hii ni sawa na kusema NMB PLC pekee anamiliki 40% ya faida yote huku ikimpiku kwa mbali mshindani wake wa karibu CRDB bank kwa zaidi ya TZS 118 BL sawa na 70% ya faida yake.
Wakati Ruth Zaipuna anakuwa Mkurugenzi Mkuu Benki hii ilikuwa na wastani wa faida ya TZS 200BL baada ya kodi wakati Leo faida imekuwa na kufikia wastani wa karibu TZS 400BL kwa mwaka yaani sawa na marambili zaidi.
Pia, taarifa zinaonesha Benki ya NMB inashika nafasi ya sita kwa Ukubwa katika nchi zote Kusini mwa jangwa la Sahara na ndio Benki pekee toka Tanzania inayoshindana kimataifa katika ukubwa wa Biashara.
Watanzania tuna la kujivunia toka kwa Mkurugenzi huyu mzawa akisaidiwa na management nzima ya NMB PLC pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa NMB PLC chini ya Dkt Edwin Mhede, Hakika Mmestahili Heshima.
Kwa msiofahamu Mwaka 2021, Benki ya NMB chini ya Ruth Zaipuna ilitambuliwa na kutunukiwa tuzo saba za kimataifa
ikiwemo tuzo ya Euromoney ya Ubora, ikiitambua benki ya NMB kama Benki
bora Tanzania (kwa miaka tisa mfululizo) na tuzo kutoka Jarida la Global
Finance ikiitambua benki ya NMB kama benki salama zaidi Tanzania.
Pia mwaka 2021, benki ya NMB ilitambuliwa na kupewa tuzo na Mamlaka ya
Mapato Tanzania (TRA) ikiitambua kama mlipa kodi mkubwa zaidi kwenye
sekta ya fedha na pia mlipa kodi mkubwa namba tatu kwa ujumla nchini hii ni chini ya Ruth Zaipuna.
Kwa matokeo haya, Huenda Ukimwacha Rais Dkt Samia na Spika Dkt Tulia mwingine ni huyu Ruth Zaipuna wa NMB PLC deserves better.
Kuna haja ya kununua hizi share kama unapesa zinalipa sanaBei ya Leo 10 November , 2023 (closing price) ni TZS 4,660 kwa share moja. Nilinunua TZS 600 Primary Market.
Hahaha , Jidu La Mabambasi nakuheshimu sana ila kwenye hili umebugi sanaMzee, Bank mpaka Senti moja iko kwenye control hahaha,Huyo mama na chairman wake wa Bodi, mtu wa system, ni wezi wa kutupwa.
Wamefanya ubadhilifu gani tena hukoHuyo mama na chairman wake wa Bodi, mtu wa system, ni wezi wa kutupwa.
Anadhani bank ni Halmashauri achana nae huyoWamefanya ubadhilifu gani tena huko