NMB yawaburuza CRDB na wenzake kifaida chini ya Mwanamama Ms Ruth Zaipuna, huenda Ukimwacha Rais Dkt Samia na Spika Dkt. Tulia mwingine ni huyu Mama

Mwenye kujua Mishahara ya NMB aniambie tafadhali,kuna dogo langu ameitwa kwenye Interview hapo NMB Makao Makuu Dar wiki ijayo nafasi ya Senior Manager,kwa sasa anafanya kazi Mwanza,hivyo kaniuliza kama apande Katarama aende au mishahara yao ni uzushi tu maana naona wanatangaza sana kazi kila siku
 
Mishahara ni mizuri sana nadhani kuliko bank zote.
 
NMB naipenda sana imenipa maisha Mimi mazuri
 

Apande ndege kabisa, wami/ruvu pasije jaa maji akashindwa kufika.
 
Asante,naomba kadiria kwa Senior Manager anaweza akawa anapokea kama ngapi?maana dogo bado anajiuliza aende kwenye Interview au asiende

Mwambie dogo asiendekeze sana maokoto katika kufanya maamuzi.

Pia issue sio wanalipa ngapi, nadhani yeye anajua thamani yake hivyo mwambie awe na uwezo wa kujadiliana kuhusu maslahi asiwe mtu wa kupangiwa.
 
Mwambie dogo asiendekeze sana maokoto katika kufanya maamuzi.

Pia issue sio wanalipa ngapi, nadhani yeye anajua thamani yake hivyo mwambie awe na uwezo wa kujadiliana kuhusu maslahi asiwe mtu wa kupangiwa.
Hahaha fact, Tatizo la vijana wetu Leo wanazongatia sana maokoto badala ya kazi kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…