NMB yawaburuza CRDB na wenzake kifaida chini ya Mwanamama Ms Ruth Zaipuna, huenda Ukimwacha Rais Dkt Samia na Spika Dkt. Tulia mwingine ni huyu Mama

Kwanini hafikirii kutoka nje ya TZ Kama wenzake CRDB?
 
Hongera lakini hili linamchafua...
Kuhusu suala la foleni kwenye matawi Yao unakuta madirisha matatu lakini moja tu linamhudumu. Kitendo hiki kinapelekea foleni ya saa 1-2 kusubiri huduma.

Reference Nmb Msamvu, Nmb Masika, Nmb Wami Morogoro. Hii inafikia mahala mtu ukiwa na suala lako la kibenki (lisilowezekana online) ujiandae kukumbana iyo foleni.

Pengine imechangiwa na kuongeza matawi pasi na kuongeza wafanyakazi. Bank za Mjini katu hazifai kuwa mhudumu mmoja (Teller).
 
Sio kila anaebobea katika field flani basi atafit kila sehemu its a wrong assumption...
 
Wakienda huko wamekwisha
 
Chawa pro plus limejinyonyowa mabawa ameamua kuja kwa miguu haya ateuliwe viti maalumu halafu apewe uwaziri wa fedha maana lengo limeanza mbaali!
 

Hongera zao japo NMB pia inafaidika na mfumo...
  1. Fikiria mishahara ya watumishi wa umma karibia wote hupitia huko
  2. Mikopo ya watumishi hao ambapo takriban 90% risk free hupitia kwao na ina riba kubwa tu
  3. Matawi karibia kila mahala ni suala tu la kuyasimamamia kimkakati nk
  4. Serikali hupitisha hela nyingi tu huko; Chukulia malipo ya watalii/TANAPA, nk
Ukiangalia vizuri kuna benk hapo nafikiri hazina hata miaka 15 zinashindanishwa na Benk yenye zaidi miaka ya 60
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…