Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Nimejikuta leo hii nalikumbuka shirika letu hili pendwa la NMC, nikajisikia vibaya sana, ukizingatia malengo ya NMC, Ilikuwa ni pamoja na kununua mazao mashambani kwa bei isiyo ya kumuumiza mkulima, ku process au kuchakata mazao hayo kama ni unga au la na kuuza bidhaa iliyo kamili, kwa mtanzania.
Pumba na makapi mbalimbali vilibaki hapa nchini kwa ajili ya kunenepesha mifugo ya watanzania ili kupata maziwa mengi zaidi, nadhani unaweza kuipima akili ya Mwl. Nyerere kwa mfano huu mdogo kabisa, why this not applied at now?
Tukauza unga uliofungwa na kuboreshwa nje, badala ya kuuza mahindi yetu nje, katika dunia ya sasa Pumba ni product kama products zingine!
Na mazao mengine yote tukayachakata kwa namna hii, tukauza nje products za kilimo badala ya mazao yetu, pia hili litasaidia katika ku - control products prices kwa bei zote za vyakula zitakuwa chini ya uangalizi maalumu!
#SOGA_JUMAPILI.