Nmeamini gene ya kuchepuka au tamaa ipo ndan ya damu ya mwanaume na rijali.na ts imposible kuikwepa

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
Wakuu niko nje ya mkoa kikaz,xmass nilirud kwangu ila boxing day faasta nikarud huo mkoa niliokuepo,sasa speed ya kurud huku fasta hiv ni jus kuna mdada near hii sehem ninayokaa huku,yaan anamvuto wa kungoneka balaa,na amenizoea kwa muda mfup had nashangaa,nmeshindwa kujizuia actualy nmeshamla tayar..nilirud xmass home ila nkawa sina ham na madem zangu wa home kabsaa,akil yote iko kwa huyu binti,na nilipotua tu niyeye alienifata moja kwa moja akalala na ndo siku hyo nilimla,juz tuu,ni mtam huyu mtoto,daah,.
Makin the story short:nilidhamiria kuacha hii tabia ila nmeshindwa kiukwel,..huyu dada ana stationery kuubwa kwel,sasa sjui ni mke wa mtu,na tulijuana hapo stationery kwake nilipoenda kupata huduma ya haraka.
 
Ila tuna safari ndefu kidogo kuhusu kuwasilisha taarifa

Sasa hilo la kuwa ana miliki stionery mbona halina uhusiano na habari yenyewe.

Otherwise hii ni tabia ya wanume walioko chini ya miaka 46
 
dogo huyo ni mke wa mtu achana naye. usije ukakalia chupa buree. vya watu sumu.
 
Ila tuna safari ndefu kidogo kuhusu kuwasilisha taarifa

Sasa hilo la kuwa ana miliki stionery mbona halina uhusiano na habari yenyewe.

Otherwise hii ni tabia ya wanume walioko chini ya miaka 46

hawa ni wale watoto ambao wanatumwa kazi za ofisi mikoani. sasa akiwa na tu per diem mfukoni ndo anajiona kiduume.
 
Ila tuna safari ndefu kidogo kuhusu kuwasilisha taarifa

Sasa hilo la kuwa ana miliki stionery mbona halina uhusiano na habari yenyewe.

Otherwise hii ni tabia ya wanume walioko chini ya miaka 46
Nilitaka kuonyesha kua shez a grown ass woman mwenye maisha yake,mana wengne wangesema perhaps ni changu tuu
 
Hizi fiction hapa sio mahali pake wahi fb kwenu ukawasimulie upupu wako! Jiheshimu basi na usifikiri kuna award za kungoneka zaidi ya kuwaalika wale wageni mwilini mwako! Anyway, kila mchuma janga hula na wa kwao japo hakuna msiba usio na nduguze! Waambie wakuandalie pa kuzikwa!
 
Povu,..umeoa nin bro,..wake zenu si waaminifu,....n y r u sayn this is a fiction,..mbona kawaida sana hii,..we goodboy nin ndomana unaona hii ni hadith,hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…