Nmeamini gene ya kuchepuka au tamaa ipo ndan ya damu ya mwanaume na rijali.na ts imposible kuikwepa

Umezini kwakua hujaoa,,na dhambib haijawahi kuja na sura mbaya."Roho itendayo dhambi ndio itakayo kufa"
Unanitisha, et ytakufa¡! hahaha watu wameanza kuzin leo?...yaan Mungu angekua na roho kama yako,daah hii dunia wala isingekuepo,.wanadam wana hukum kuliko Mungu,...au atakua ni mkeo nin?
 
itaje hio gene,na kwa nini iko kwa wanaume tu?
Dada angu,hakuna mwanaume asiecheat dunian,trust me,ata cheat tu one or several times in his life time..ndo maana nkahis kuna inborn character tuu si bure,..mi nmejilazimisha kuto cheat nmeshindwa,na rafk zangu karibia woote hil swala limewashinda,bas nmeconclude kua lazma kuna gene hyo tuu kwenye DNA
 
Unanitisha, et ytakufa¡! hahaha watu wameanza kuzin leo?...yaan Mungu angekua na roho kama yako,daah hii dunia wala isingekuepo,.wanadam wana hukum kuliko Mungu,...au atakua ni mkeo nin?
Seema yoote ila ujue dhambi inaua,mkewangu hawezi kuja kwako maana ni wangu
 
Hizi fiction hapa sio mahali pake wahi fb kwenu ukawasimulie upupu wako! Jiheshimu basi na usifikiri kuna award za kungoneka zaidi ya kuwaalika wale wageni mwilini mwako! Anyway, kila mchuma janga hula na wa kwao japo hakuna msiba usio na nduguze! Waambie wakuandalie pa kuzikwa!
unaweza kungonoka na mkeo na ukafa vile vile acha biti nyau wewe
 
Dada angu,hakuna mwanaume asiecheat dunian,trust me,ata cheat tu one or several times in his life time..ndo maana nkahis kuna inborn character tuu si bure,..mi nmejilazimisha kuto cheat nmeshindwa,na rafk zangu karibia woote hil swala limewashinda,bas nmeconclude kua lazma kuna gene hyo tuu kwenye DNA

kama wewe umeshindwa sio wote,kuna wanaume hawacheat,yes wapo,wewe utakua zao la mchepuko,hujaonja upendo wa baba na mama.,,halafu kwa nini umezungukwa na marafiki wanaocheat????roho ya ukimwi inakunyemelea....
 
Seema yoote ila ujue dhambi inaua,mkewangu hawezi kuja kwako maana ni wangu
Bas hata wewe utakufa,..hakuna asie na dhamb hapa dunian,aliwah kua m1 tuu...pia huyo mkeo sawa ni wako akiwa kwako,tukikutana nao huku uraian wanasemaga usihof hatojua.
 
Nakuelewa mkuu ila mshahara wa dhambi ni mauti.kufa kila mtu atakufa na baada ya kifo ni hukumu.kwakua wote tunadhambi endelea ukitaka jf tukuchangie na nauli urid mkoan ukazinzike.maana mchafu na azidi kujichafua na msafi azid kujitakasa
 
Back
Top Bottom