Nmeamini gene ya kuchepuka au tamaa ipo ndan ya damu ya mwanaume na rijali.na ts imposible kuikwepa

Nmeamini gene ya kuchepuka au tamaa ipo ndan ya damu ya mwanaume na rijali.na ts imposible kuikwepa

ni raha sana mkuu, sema uwe na mbinu za kuwafanya wote wajiskie wako peke yao
Ndo hapo naposhindwa mim,..mi nkikolea mahala,nkirud huku kwingne had nikolee sio leo,lazma nivute vute hisia kwingne
 
kama wewe umeshindwa sio wote,kuna wanaume hawacheat,yes wapo,wewe utakua zao la mchepuko,hujaonja upendo wa baba na mama.,,halafu kwa nini umezungukwa na marafiki wanaocheat????roho ya ukimwi inakunyemelea....
dada angu mbona unawatus wazaz wangu ,wamekukosea nin,..tabia yangu ni yangu dont involve my parents .wana mwaka wa 40 nw ndan ya ndoa na aman tele sista angu,hapo umenikosea.
 
Nakuelewa mkuu ila mshahara wa dhambi ni mauti.kufa kila mtu atakufa na baada ya kifo ni hukumu.kwakua wote tunadhambi endelea ukitaka jf tukuchangie na nauli urid mkoan ukazinzike.maana mchafu na azidi kujichafua na msafi azid kujitakasa
Bas sawa
 
Just cheat for your own! Stop publicizing your cheating habits here. That was my point
Ts a fun zone darlin,every1 tells his/her own story,u should bring urs..is it ur first time in the forum.?...perhaps it is.
 
dada angu mbona unawatus wazaz wangu ,wamekukosea nin,..tabia yangu ni yangu dont involve my parents .wana mwaka wa 40 nw ndan ya ndoa na aman tele sista angu,hapo umenikosea.

mmmmnh ni rare kukuta wazazi waishi miaka yote hio,then mtoto wao awe na msimamo kama wako,anyway sorry.
 
kama wewe umeshindwa sio wote,kuna wanaume hawacheat,yes wapo,wewe utakua zao la mchepuko,hujaonja upendo wa baba na mama.,,halafu kwa nini umezungukwa na marafiki wanaocheat????roho ya ukimwi inakunyemelea....
daah maneno makali sana, hadi mm yamenichoma
 
Wakuu niko nje ya mkoa kikaz,xmass nilirud kwangu ila boxing day faasta nikarud huo mkoa niliokuepo,sasa speed ya kurud huku fasta hiv ni jus kuna mdada near hii sehem ninayokaa huku,yaan anamvuto wa kungoneka balaa,na amenizoea kwa muda mfup had nashangaa,nmeshindwa kujizuia actualy nmeshamla tayar..nilirud xmass home ila nkawa sina ham na madem zangu wa home kabsaa,akil yote iko kwa huyu binti,na nilipotua tu niyeye alienifata moja kwa moja akalala na ndo siku hyo nilimla,juz tuu,ni mtam huyu mtoto,daah,.
Makin the story short:nilidhamiria kuacha hii tabia ila nmeshindwa kiukwel,..huyu dada ana stationery kuubwa kwel,sasa sjui ni mke wa mtu,na tulijuana hapo stationery kwake nilipoenda kupata huduma ya haraka.
Unatetea udhaifu wako tu, unatakiwa kutubu na kuombewa hilo pepo la ngono likuachie.

Vv
 
Huu sio uzinz,ni uasherati
Hivi uzinzi ni tendo tofauti na uasherati au kinachotenganisha ni status ya mtendaji? Tendo ni lilelile tofauti ni kuwa uzinzi unafanywa na mtu aliye ndani ya ndoa lkn uasherati unafanywa na wavulana /wasichana.

Kabsa mkurugenz
 
Unanitisha, et ytakufa¡! hahaha watu wameanza kuzin leo?...yaan Mungu angekua na roho kama yako,daah hii dunia wala isingekuepo,.wanadam wana hukum kuliko Mungu,...au atakua ni mkeo nin?
Hapo ndio nathibitisha una jini mahaba, jinsi unavyotetea tabia yako chafu, inashangaza!

Vv
 
Ndo hapo naposhindwa mim,..mi nkikolea mahala,nkirud huku kwingne had nikolee sio leo,lazma nivute vute hisia kwingne
Hapo umanza kurejea kwenye ufahamu wako, usipoweza kuacha hiyo tabia sasa basi ujue hakika itagharimu ndoa yako na mkeo.

Vv
 
Back
Top Bottom