Gabbar_singh
Senior Member
- Jan 5, 2019
- 146
- 215
Kwa jinsi ulivyoandika tafuta tu wakili,ushahid unaohtajika ni wa shahid sio mshtak yn hapo angekua jiran ndio kamuona mwiz wa sim yako alaf akeambie we ndo unafngua kesi ukiambiw leta shahid unampelek uyo asa utampelek shahid gan na mahakamn ni ushahid ndio kitu muhim sio unamshtak mtu alaf na we ndo uyo uyo shahid aina nguv utapotz gharam akikushinda anaez fungua na kesi ya kukudai fidia ya kumdharilsha au kulp gharam zke so uka potez zaid polis kes zkirundkana wanaonag kero wanazplka mahakmn ht km azina ushahid so hapo una bet unaez shinda au laa
Ume fungua case ya madai bila shaka ndo maana mzigo wote upo kwako..ingekuwa ya jinai Police na ma State attorney wange kutafutia ushahidi kazi yako ikawa kutoa ushahidi tu
But still hata huko Mahakama ya mwanzo gharama za kupeleka mashahidi bado atazibeba Mlalamikaji!!Sio kweli, kwa kesi za mahakama ya mwanzo hata jinai mtu (individual) anaweza kushitaki. Ni kesi za jinai zinazoenda Mahakama ya wilaya na kuendelea pekee, ndiyo serikali chini ya ofisi ya mwendesha mashtaka mkuu (DPP) ndo huwa wanashitaki wao
Is it worth it?Wakuu mimi kuna mtu aliniibia simu yangu usiku wa saa tisa nilimuona dirishani( kuna taa imefifia mwanga lakini unaweza kumuona mtu na mlangoni(pale mlangoni kuna ka duara hivi kwahiyo kabla ya kufungua mlango nilimuona na penyewe kuna taa ambayo inamulika vizuri) sasa zikapita siku nikawa namuona sehemu. Ikabidi niende kumshtaki. Wakauliza anapokaa anasema mtaa ule ule ninaokaa mimi, ila kijana akakataa kata kata kwamba siyo yeye, akati yeye ndiye niliyemuona ila anabisha . Basi wakasema kesi ipelekwe mahakama. Ndiyo tunasubiria week ijayo. Vipi ni maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?
Very trueBut still hata huko Mahakama ya mwanzo gharama za kupeleka mashahidi bado atazibeba Mlalamikaji!!
Napigaje chini na imeshafika mahakamani?Ushahidi wako hauna mashiko, ni bora ata ungemrekodi; vinginevyo utapoteza muda, pesa, na wakati mwingine utatakiwa ulipe fidia kwa usumbufu.
Nakushauri, piga chini
Mashahidi ni mimi mwenyeweBut still hata huko Mahakama ya mwanzo gharama za kupeleka mashahidi bado atazibeba Mlalamikaji!!
wataniuliza maswali kama yapi? Ndiyo nayoyatakamaswali unaenda kuulizwa wewe mkuu, utatakiwa uthibitishe kama huyo ndio mwizi kitu ambacho mpaka hapa hauna
ππππππkwanini?Kwa jinsi ulivyoandika tafuta tu wakili,
Humshindi Huyo mwizi.
Nilimuona ndiyo na nilimpigia kupitia simu yangu usiku huo huo alipoichukua yaani niliongea naye dirishani kabisa baadae kwenye simu yangu aliyoichukuaUlimuona anachukua? Na bado anayo?
Ushauri mzuri kabisa, kama hana ushahidi ndio kashapoteza hivyo ni bora alielewe hilo mapema kuepuka usumbufu.
Sina cha maana na kaichukua simu?Huna cha maana wewe andaa pesa za kumlipa fidia ya usumbufu na kumdhalilisha uyo unae muita mwizi ili siku nyingine iwe fundisho usikae macho usiku kuangalia mwizi anaiba bila kumchukulia hatua yoyote
Bwana wakili umemmaliza kabisa jamaa..Hii kesi unashindwa , hata kama ukimkuta na simu bado unashindwa
Haswa kwenye swala la utambuzi, unapaswa uishawishi mahakama beyond reasonable doubt kua ni yeye na sii mwingine, kwanza unapaswa uieleze mahakama ni kwann ulikua macho saa tisa usiku na ikawaje ukawa unaangalia hayo maeneo ambayo mwizi angeweza kufanya jambo, na je alipoiba uliona au haukuona? Reaction yako ilikua nn baada ya ulichokiona,? usiwaze sana kitu cha kumuuliza ,waza sana n kwa namna gani unaweza kujenga hoja ikaeleleweka kwanza
thibitisha kama uyu mwiz ndio mwiziwataniuliza maswali kama yapi? Ndiyo nayoyataka