Nmeibiwa simu, kesi iko mahakamani. Maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?

Nmeibiwa simu, kesi iko mahakamani. Maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?

ushahid unaohtajika ni wa shahid sio mshtak yn hapo angekua jiran ndio kamuona mwiz wa sim yako alaf akeambie we ndo unafngua kesi ukiambiw leta shahid unampelek uyo asa utampelek shahid gan na mahakamn ni ushahid ndio kitu muhim sio unamshtak mtu alaf na we ndo uyo uyo shahid aina nguv utapotz gharam akikushinda anaez fungua na kesi ya kukudai fidia ya kumdharilsha au kulp gharam zke so uka potez zaid polis kes zkirundkana wanaonag kero wanazplka mahakmn ht km azina ushahid so hapo una bet unaez shinda au laa
 
Ume fungua case ya madai bila shaka ndo maana mzigo wote upo kwako..ingekuwa ya jinai Police na ma State attorney wange kutafutia ushahidi kazi yako ikawa kutoa ushahidi tu
 
Kwa jinsi ulivyoandika tafuta tu wakili,
Humshindi Huyo mwizi.
 
Ume fungua case ya madai bila shaka ndo maana mzigo wote upo kwako..ingekuwa ya jinai Police na ma State attorney wange kutafutia ushahidi kazi yako ikawa kutoa ushahidi tu
Sio kweli, kwa kesi za mahakama ya mwanzo hata jinai mtu (individual) anaweza kushitaki. Ni kesi za jinai zinazoenda Mahakama ya wilaya na kuendelea pekee, ndiyo serikali chini ya ofisi ya mwendesha mashtaka mkuu (DPP) ndo huwa wanashitaki wao​
 
Wenzako wanafinya hukohuko nje kabla ya kumpeleka mahakamani, angeirudisha huyo angekumbana na wafunyaji.

Kuna mwanamke fulani pale Kariakoo aliibiwa vifaa vya gari lake, akatuma vojana wachunguze, wakajuwa kuwa mwizi alitokea Magomeni, siyo wa pale Kariakoo. Akawapa watu tender wakamfinye, na hiyo ilishapita wiki na vifaa kaviuza. Watu wakaenda kumfinya asubhi na mapema, kufika kumi na moja jioni kaenda kurudisha vigfaa vyote kaleta na fundi wa kuvirudishia kwenye gari.

Kuna watu hawaibiwi Dar. Mtu yupo tayari kupoteza million 5 kwa kuibiwa vitu vya laki mbili.
 
Sio kweli, kwa kesi za mahakama ya mwanzo hata jinai mtu (individual) anaweza kushitaki. Ni kesi za jinai zinazoenda Mahakama ya wilaya na kuendelea pekee, ndiyo serikali chini ya ofisi ya mwendesha mashtaka mkuu (DPP) ndo huwa wanashitaki wao​
But still hata huko Mahakama ya mwanzo gharama za kupeleka mashahidi bado atazibeba Mlalamikaji!!
 
Wakuu mimi kuna mtu aliniibia simu yangu usiku wa saa tisa nilimuona dirishani( kuna taa imefifia mwanga lakini unaweza kumuona mtu na mlangoni(pale mlangoni kuna ka duara hivi kwahiyo kabla ya kufungua mlango nilimuona na penyewe kuna taa ambayo inamulika vizuri) sasa zikapita siku nikawa namuona sehemu. Ikabidi niende kumshtaki. Wakauliza anapokaa anasema mtaa ule ule ninaokaa mimi, ila kijana akakataa kata kata kwamba siyo yeye, akati yeye ndiye niliyemuona ila anabisha . Basi wakasema kesi ipelekwe mahakama. Ndiyo tunasubiria week ijayo. Vipi ni maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?
Is it worth it?
 
Maswali unaenda kuulizwa wewe mkuu, utatakiwa uthibitishe kama huyo ndio mwizi kitu ambacho mpaka hapa hauna
 
Ushahidi wako hauna mashiko, ni bora ata ungemrekodi; vinginevyo utapoteza muda, pesa, na wakati mwingine utatakiwa ulipe fidia kwa usumbufu.
Nakushauri, piga chini​
 
Sasa nifanyaje ili niitupilie mbali kesi japo yeye ndiye aliyeichukua. Me nilimpeleka police ila police kesho yake wakaipeleka mahakamani
Ushauri mzuri kabisa, kama hana ushahidi ndio kashapoteza hivyo ni bora alielewe hilo mapema kuepuka usumbufu.
 
Huna cha maana wewe andaa pesa za kumlipa fidia ya usumbufu na kumdhalilisha uyo unae muita mwizi ili siku nyingine iwe fundisho usikae macho usiku kuangalia mwizi anaiba bila kumchukulia hatua yoyote
Sina cha maana na kaichukua simu?
 
Hii kesi unashindwa , hata kama ukimkuta na simu bado unashindwa

Haswa kwenye swala la utambuzi, unapaswa uishawishi mahakama beyond reasonable doubt kua ni yeye na sii mwingine, kwanza unapaswa uieleze mahakama ni kwann ulikua macho saa tisa usiku na ikawaje ukawa unaangalia hayo maeneo ambayo mwizi angeweza kufanya jambo, na je alipoiba uliona au haukuona? Reaction yako ilikua nn baada ya ulichokiona,? usiwaze sana kitu cha kumuuliza ,waza sana n kwa namna gani unaweza kujenga hoja ikaeleleweka kwanza
Bwana wakili umemmaliza kabisa jamaa..

Kimbembe,
Maana kwa hayo mazingira kuiaminisha mahakama beyond
Reasonable doubt 🧐
 
wataniuliza maswali kama yapi? Ndiyo nayoyataka
thibitisha kama uyu mwiz ndio mwizi
kiufupi ulitakiwa ukusanye ushahid wakutosha kabla ya kwenda hata polisi , hio kes itakupotezea zaid ya miez mitatu na hautotoboa ushahi hauna
 
Mahakamani Wewe ndo utaenda kuulizwa maswali na mtuhumiwa
1. Kitu gani kiliwezesha kumtambua? Wewe ndo utajibu Kulikua na mwaga wa tochi? Mbalamwezi? Taa au nini?
2.Dirisha lako likojelikoje hadi ikawa rahisi kumtambua? Lilikua wazi kama mlango? Hakukua na wavu au kioo?
3.kama lina wavu au kioo na ni usiku je wavu/kioo haikukuzuia kuitambua sura yake vizuri?
4. Je ulikua unamfahamu kabla?
5. Unao mashahidi?
6.simu ulimkuta nayo? Kielelezo kipo?

Kitu pekee kinachoweza ku support ushahidi wako ni exhibit kielelezo, tafuta kwanza simu atakae kamatwa na hiyo simu aunganishwe kwenye kesi ili yeye ndo akakiri mahakamani kuwa aliuziwa na huyo mwizi wako
 
Back
Top Bottom