Pagani Zonda
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 685
- 468
- Thread starter
- #81
ππππππππππsimu ni simu tu acha kudharau simu. Tena ukute ndiyo uliyonayoπ€£π€£π€£ Acha kuisumbua Jamuhuri kwa kudai infinix
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππππππsimu ni simu tu acha kudharau simu. Tena ukute ndiyo uliyonayoπ€£π€£π€£ Acha kuisumbua Jamuhuri kwa kudai infinix
Anhaa nmekuelewa. Je kama nmeibiwa kweli alafu ikaenda kujulikana aliyeiba siyo yeye au nmemfananisha, ila nmeibiwa kweli kweli. Hiyo nayo inakuaje?Ni mtu kukushtaki kwa hila tu bila ukweli wowote. Kwa ufupi ni mtu anakutengenezea mashtaka ya kutunga hivyo ikithibitika mashtaka hayana ukweli wowote basi mshtakiwa anafungua kesi ya kudai fidia kwa kusingiziwa mashtaka.
Relax Kaka Ila utashindwa kesi tu ,lazima ukome kuwaangalia wezi huku unatabasamu
Kwasababu nilimuona nikahisi nikimuomba kistaarabu atanirudishia. Lakini hajafanya hivoSimu ya aina gani??
Ulimuona na wala hukufanya chochote ukamuangalia tu anasepa na simu.
Muulize.Wakuu mimi kuna mtu aliniibia simu yangu usiku wa saa tisa nilimuona dirishani(kuna taa imefifia mwanga lakini unaweza kumuona mtu na mlangoni(pale mlangoni kuna ka duara hivi kwahiyo kabla ya kufungua mlango nilimuona na penyewe kuna taa ambayo inamulika vizuri) sasa zikapita siku nikawa namuona sehemu. Ikabidi niende kumshtaki.
Wakauliza anapokaa anasema mtaa ule ule ninaokaa mimi, ila kijana akakataa kata kata kwamba siyo yeye, wakati yeye ndiye niliyemuona ila anabisha. Basi wakasema kesi ipelekwe mahakama. Ndiyo tunasubiria week ijayo.
Vipi ni maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?
ππππππππππππππππππππππππnyie ndiyo maana unaitwa komeo la chumaMuulize.
Wewe : uliyeniibia ni wewe au si wewe?
Yeye: si mimi
Wewe: uongo ndo wewe
Yeye: si mimi
WEwe: muogope Mungu utaenda motoni bure.
Na yeye atapewa nafasi ya kukuhoji
Yeye: wakati nimekuja kukuibia nilivaa nguo rangi gani?
Wewe: nyeusi
Yeye: hollaaaah, ilikuwa ya blue
Wewe: ok basi nlijichanganya...
Hili kweli ni jukwaa daah. Lina watu wa kila ainaMuulize.
Wewe : uliyeniibia ni wewe au si wewe?
Yeye: si mimi
Wewe: uongo ndo wewe
Yeye: si mimi
WEwe: muogope Mungu utaenda motoni bure.
Na yeye atapewa nafasi ya kukuhoji
Yeye: wakati nimekuja kukuibia nilivaa nguo rangi gani?
Wewe: nyeusi
Yeye: hollaaaah, ilikuwa ya blue
Wewe: ok basi nlijichanganya...
Kwa hiyo wote hao hata akili ya ku record sauti yake kama ushahidi au kielelezo hamkuwa nayo π€£π€£βBaadae hiyo hela aliyokuwa anaitaka sikumpa. Akatokomea gizani. Ndiyo nikarudi ndani ikabidi niite watu, nikachukua simu zao kujaribu kuipigia simu yangu akapokea huyo kaka namwambia naomba simu yangu anasema βnaomba uchiβ. Baadae tukawa tunapiga simu haipatikani. Ndiyo asubuhi nikaenda kurenew line
Shahidi unaye?Wakuu mimi kuna mtu aliniibia simu yangu usiku wa saa tisa nilimuona dirishani(kuna taa imefifia mwanga lakini unaweza kumuona mtu na mlangoni(pale mlangoni kuna ka duara hivi kwahiyo kabla ya kufungua mlango nilimuona na penyewe kuna taa ambayo inamulika vizuri) sasa zikapita siku nikawa namuona sehemu. Ikabidi niende kumshtaki.
Wakauliza anapokaa anasema mtaa ule ule ninaokaa mimi, ila kijana akakataa kata kata kwamba siyo yeye, wakati yeye ndiye niliyemuona ila anabisha. Basi wakasema kesi ipelekwe mahakama. Ndiyo tunasubiria week ijayo.
Vipi ni maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?
Wakuu mimi kuna mtu aliniibia simu yangu usiku wa saa tisa nilimuona dirishani(kuna taa imefifia mwanga lakini unaweza kumuona mtu na mlangoni(pale mlangoni kuna ka duara hivi kwahiyo kabla ya kufungua mlango nilimuona na penyewe kuna taa ambayo inamulika vizuri) sasa zikapita siku nikawa namuona sehemu. Ikabidi niende kumshtaki.
Wakauliza anapokaa anasema mtaa ule ule ninaokaa mimi, ila kijana akakataa kata kata kwamba siyo yeye, wakati yeye ndiye niliyemuona ila anabisha. Basi wakasema kesi ipelekwe mahakama. Ndiyo tunasubiria week ijayo.
Vipi ni maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?
Shahidi unaye?
Yeye ndiye aliyeichukua Jamani ni yeye. Nmemuona mara mbili aisee sijamsahau. Sema nmeshaona sitashinda kwasababu sina ushahidi mwingine wa kujitosheleza. Ila yeye ndiyeInaweza Kuwa sio yeye, huwezi shinda hiyo Kesi, Omba tu ifutwe
Cctv nazitoa wapi?Inatakiwa utoe ushahidi wa pasi na shaka ili uweze kumtia hatiani....Kumuona tu pasipo CCTV au kumkamata na "kizibiti" hauwezi kumshinda.
Huyo hauwezi kumtia hatiani maana hakimu lazima apate ushahidi usio na shaka.Cctv nazitoa wapi?