Nmeibiwa simu, kesi iko mahakamani. Maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?

Nmeibiwa simu, kesi iko mahakamani. Maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?

🀣🀣🀣 Acha kuisumbua Jamuhuri kwa kudai infinix
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚simu ni simu tu acha kudharau simu. Tena ukute ndiyo uliyonayo
 
Ni mtu kukushtaki kwa hila tu bila ukweli wowote. Kwa ufupi ni mtu anakutengenezea mashtaka ya kutunga hivyo ikithibitika mashtaka hayana ukweli wowote basi mshtakiwa anafungua kesi ya kudai fidia kwa kusingiziwa mashtaka.
Anhaa nmekuelewa. Je kama nmeibiwa kweli alafu ikaenda kujulikana aliyeiba siyo yeye au nmemfananisha, ila nmeibiwa kweli kweli. Hiyo nayo inakuaje?
 
Wakuu mimi kuna mtu aliniibia simu yangu usiku wa saa tisa nilimuona dirishani(kuna taa imefifia mwanga lakini unaweza kumuona mtu na mlangoni(pale mlangoni kuna ka duara hivi kwahiyo kabla ya kufungua mlango nilimuona na penyewe kuna taa ambayo inamulika vizuri) sasa zikapita siku nikawa namuona sehemu. Ikabidi niende kumshtaki.

Wakauliza anapokaa anasema mtaa ule ule ninaokaa mimi, ila kijana akakataa kata kata kwamba siyo yeye, wakati yeye ndiye niliyemuona ila anabisha. Basi wakasema kesi ipelekwe mahakama. Ndiyo tunasubiria week ijayo.

Vipi ni maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?
Muulize.
Wewe : uliyeniibia ni wewe au si wewe?
Yeye: si mimi
Wewe: uongo ndo wewe
Yeye: si mimi
WEwe: muogope Mungu utaenda motoni bure.
Na yeye atapewa nafasi ya kukuhoji
Yeye: wakati nimekuja kukuibia nilivaa nguo rangi gani?
Wewe: nyeusi
Yeye: hollaaaah, ilikuwa ya blue
Wewe: ok basi nlijichanganya...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nyie ndiyo maana unaitwa komeo la chuma
 
Muulize.
Wewe : uliyeniibia ni wewe au si wewe?
Yeye: si mimi
Wewe: uongo ndo wewe
Yeye: si mimi
WEwe: muogope Mungu utaenda motoni bure.
Na yeye atapewa nafasi ya kukuhoji
Yeye: wakati nimekuja kukuibia nilivaa nguo rangi gani?
Wewe: nyeusi
Yeye: hollaaaah, ilikuwa ya blue
Wewe: ok basi nlijichanganya...
Hili kweli ni jukwaa daah. Lina watu wa kila aina
 
Baadae hiyo hela aliyokuwa anaitaka sikumpa. Akatokomea gizani. Ndiyo nikarudi ndani ikabidi niite watu, nikachukua simu zao kujaribu kuipigia simu yangu akapokea huyo kaka namwambia naomba simu yangu anasema β€œnaomba uchi”. Baadae tukawa tunapiga simu haipatikani. Ndiyo asubuhi nikaenda kurenew line
Kwa hiyo wote hao hata akili ya ku record sauti yake kama ushahidi au kielelezo hamkuwa nayo πŸ€£πŸ€£β“
 
Wakuu mimi kuna mtu aliniibia simu yangu usiku wa saa tisa nilimuona dirishani(kuna taa imefifia mwanga lakini unaweza kumuona mtu na mlangoni(pale mlangoni kuna ka duara hivi kwahiyo kabla ya kufungua mlango nilimuona na penyewe kuna taa ambayo inamulika vizuri) sasa zikapita siku nikawa namuona sehemu. Ikabidi niende kumshtaki.

Wakauliza anapokaa anasema mtaa ule ule ninaokaa mimi, ila kijana akakataa kata kata kwamba siyo yeye, wakati yeye ndiye niliyemuona ila anabisha. Basi wakasema kesi ipelekwe mahakama. Ndiyo tunasubiria week ijayo.

Vipi ni maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?
Shahidi unaye?
 
Inaweza Kuwa sio yeye, huwezi shinda hiyo Kesi, Omba tu ifutwe
 
Inatakiwa utoe ushahidi wa pasi na shaka ili uweze kumtia hatiani....Kumuona tu pasipo CCTV au kumkamata na "kizibiti" hauwezi kumshinda.
 
Inaweza Kuwa sio yeye, huwezi shinda hiyo Kesi, Omba tu ifutwe
Yeye ndiye aliyeichukua Jamani ni yeye. Nmemuona mara mbili aisee sijamsahau. Sema nmeshaona sitashinda kwasababu sina ushahidi mwingine wa kujitosheleza. Ila yeye ndiye
 
Zamani nilikuwa nawaonea huruma wezi nikikuta wanapigwa, aisee ila kwa namna huyu kaka anavokataa kata kata. Nmetokea kuwachukia wezi wa aina yoyote ile. Mtu unakataa na umenichukulia kitu changu
 
Aisee yaani mtu anakataa kabisa, me sijachukuaaa na nmekuona hadi tumeongea daah
 
Ni simu ya aina gani?. Ni ya bei gani?. Ungekuwa umecheza pele sana kuja hapa kabla ya kumpeleka polisi. Utapoteza gharama kubwa kuliko hiyo simu.
Unasema ni yeye mwenyewe ulimuona,je kuna mwingine alimuoma? Hakuna. Hiyo haitoshi. Hiyo kesi achana nayo mapema kabla hujafika mbali
 
Back
Top Bottom