Na hao police wanapelekaje kesi Mahakamani bila ya kuitressi simu kwanza iko wapi na anayo nani!? Simu zinaibiwa Dodoma na zinakuja kamatiwa Dsm baada ya kuzi tressi kwa mtandao, na ndiyo sasa kesi zinapelekwa huko Mahakamani! Labda huyo police kaamua kubutua tu kwenye upelelezi wake,au kala njama na mwizi ili afanye poor investigation ili Mlalamikaji ashindwe kesi!!