Nmeibiwa simu, kesi iko mahakamani. Maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?

Nmeibiwa simu, kesi iko mahakamani. Maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?

Na hao police wanapelekaje kesi Mahakamani bila ya kuitressi simu kwanza iko wapi na anayo nani!? Simu zinaibiwa Dodoma na zinakuja kamatiwa Dsm baada ya kuzi tressi kwa mtandao, na ndiyo sasa kesi zinapelekwa huko Mahakamani! Labda huyo police kaamua kubutua tu kwenye upelelezi wake,au kala njama na mwizi ili afanye poor investigation ili Mlalamikaji ashindwe kesi!!
Inawezekana ikawa hivyo mkuu. Polisi hawaaminiki.
 
Mimi Sina Cha kuchangia,isipokua kushauri tu,njoo nikuoe uache kulala peke yako,kadhia hiyo isijirudie
 
Akupe definition ya simu na ataje hiyo definition yake ni according to who
 
Back
Top Bottom