Pagani Zonda
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 685
- 468
- Thread starter
- #141
Mwanasheria anajua ni ya aina gani.
Simu ya aina gani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simu ya aina gani??
Inawezekana ikawa hivyo mkuu. Polisi hawaaminiki.Na hao police wanapelekaje kesi Mahakamani bila ya kuitressi simu kwanza iko wapi na anayo nani!? Simu zinaibiwa Dodoma na zinakuja kamatiwa Dsm baada ya kuzi tressi kwa mtandao, na ndiyo sasa kesi zinapelekwa huko Mahakamani! Labda huyo police kaamua kubutua tu kwenye upelelezi wake,au kala njama na mwizi ili afanye poor investigation ili Mlalamikaji ashindwe kesi!!