Nmeibiwa simu, kesi iko mahakamani. Maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?

Nmeibiwa simu, kesi iko mahakamani. Maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?

KITAKURAMBA, una kesi ya kujibu kwa Jamhuri

Usiku wa saa tisa ulikuwa macho unafanya shughuli gani??

Huyo mwizi uliweza kumuona vipi? Je, kama ni wenge la usingizi? Sababu muda huo kibinadamu unakuwa umechoka unahitaji kupumzika…

Tutakuamini vipi km wewe si mmojawapo wa wezi?

Je, ulikabwa au ulivamiwa?

Wakati tukio linatokea mlikuwa wangapi?
Utaweza kuithibitishia vipi mahakama km mtuhumiwa ni yeye??

Ukijibu hayo maswali umeshinda, otherwise samehe saba mara sabini… simu imelala yoooooo.
Wazee wa baraza watakulia hela na kesi utashindwa mapema sana.
Wazee wa baraza wataniliaje hela??
 
Usipokua makini,hiyo kesi inaweza kuja kukugeuka,ukalipa gharama za kumchafulia jina mtuhumiwa,

Huna vivid evidence ya hiyo kesi,ushauri wangu,achana na hiyo kesi na uimalize nje ya Mahakama before it's too late.
 
Naomba tafadhalini members, pitia mjadala vizuri ndiyo uje kuniuliza swali jamani. Wengine hamsomi, yaani mnakuja na stress mnaamua kuniuliza swali ilimradi tuu siku iende daah😂😂😂😂 hata kama ndiyo nisiwapangie maswali ya kuwauliza duuh😂🙌
 
Kwanza kabisa nipende kusema hivi, hii kesi sikuwahi kuwa na mawazo kwamba itaenda mahakamani. Baada ya kumkamata mtuhumiwa na kumpeleka police, ndiyo police wakaipeleka mahakamani. Kipindi niko na mtuhumiwa pale police nilimsihi sana aniambie tu hata alipoiuza ila akakataa kwamba hajachukua simu… mwisho wa siku ilivopelekwa mahakamani, nikaanza kuona ugumu kwamba ushahidi wa kumuona tu hautoshi na vilevile simu inavoelekea sitoipata, nikaona haina maana tena. Ila sasa kesi ipo tayari mahakamani, ndiyo maana niko kujipanga kipsychologia kujiandaa kwa lolote ila tu isifike juu zaidi maana hapa penyewe tu naona kama nmeshaanza kuchoka
Usipokua makini,hiyo kesi inaweza kuja kukugeuka,ukalipa gharama za kumchafulia jina mtuhumiwa,

Huna vivid evidence ya hiyo kesi,ushauri wangu,achana na hiyo kesi na uimalize nje ya Mahakama before it's too late.
 
Kwanza kabisa nipende kusema hivi, hii kesi sikuwahi kuwa na mawazo kwamba itaenda mahakamani. Baada ya kumkamata mtuhumiwa na kumpeleka police, ndiyo police wakaipeleka mahakamani. Kipindi niko na mtuhumiwa pale police nilimsihi sana aniambie tu hata alipoiuza ila akakataa kwamba hajachukua simu… mwisho wa siku ilivopelekwa mahakamani, nikaanza kuona ugumu kwamba ushahidi wa kumuona tu hautoshi na vilevile simu inavoelekea sitoipata, nikaona haina maana tena. Ila sasa kesi ipo tayari mahakamani, ndiyo maana niko kujipanga kipsychologia kujiandaa kwa lolote ila tu isifike juu zaidi maana hapa penyewe tu naona kama nmeshaanza kuchoka
Kwahiyo mkuu,unataka mbinu ya kuimaliza hiyo kesi sio?

Kama ni hivyo,utakua ni uamuzi wa busara sana.
 
Huna ushaidi ndio basi utakosa haki yako, maana kazi ni kuiaminisha mahakama kuwa ni yeye aliyeiba.
Na hao police wanapelekaje kesi Mahakamani bila ya kuitressi simu kwanza iko wapi na anayo nani!? Simu zinaibiwa Dodoma na zinakuja kamatiwa Dsm baada ya kuzi tressi kwa mtandao, na ndiyo sasa kesi zinapelekwa huko Mahakamani! Labda huyo police kaamua kubutua tu kwenye upelelezi wake,au kala njama na mwizi ili afanye poor investigation ili Mlalamikaji ashindwe kesi!!
 
Wakuu mimi kuna mtu aliniibia simu yangu usiku wa saa tisa nilimuona dirishani(kuna taa imefifia mwanga lakini unaweza kumuona mtu na mlangoni(pale mlangoni kuna ka duara hivi kwahiyo kabla ya kufungua mlango nilimuona na penyewe kuna taa ambayo inamulika vizuri) sasa zikapita siku nikawa namuona sehemu. Ikabidi niende kumshtaki.

Wakauliza anapokaa anasema mtaa ule ule ninaokaa mimi, ila kijana akakataa kata kata kwamba siyo yeye, wakati yeye ndiye niliyemuona ila anabisha. Basi wakasema kesi ipelekwe mahakama. Ndiyo tunasubiria week ijayo.

Vipi ni maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?
Simu ya aina gani ndugu? Kama kiswaswadu sawa. Ila kama ni smart usingeenda mahakamani. Ungeishia polisi wangeweza kutrack. Ukimkamta mtu ambaye anayo ndio umpeleke mahakamani kwa mali ya wizi au alipe mara 3 zaidi. Ila wakati anashikwa hakikisha mwenye mali una risiti uliyonunulia simu pasi na shaka.
 
Sasa nifanyaje ili niitupilie mbali kesi japo yeye ndiye aliyeichukua. Me nilimpeleka police ila police kesho yake wakaipeleka mahakamani
Ww jamaa ni muongo sana tangu lini polish Tz wakafanya kazi kwa Kasi ya mwanga?
 
Wakuu mimi kuna mtu aliniibia simu yangu usiku wa saa tisa nilimuona dirishani(kuna taa imefifia mwanga lakini unaweza kumuona mtu na mlangoni(pale mlangoni kuna ka duara hivi kwahiyo kabla ya kufungua mlango nilimuona na penyewe kuna taa ambayo inamulika vizuri) sasa zikapita siku nikawa namuona sehemu. Ikabidi niende kumshtaki.

Wakauliza anapokaa anasema mtaa ule ule ninaokaa mimi, ila kijana akakataa kata kata kwamba siyo yeye, wakati yeye ndiye niliyemuona ila anabisha. Basi wakasema kesi ipelekwe mahakama. Ndiyo tunasubiria week ijayo.

Vipi ni maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?
Huoni atapangua maswali yako maana nayeye anaupitia huu uzi
 
Yeye apangue. Uzuri ni kwamba sikuzote njia ya muongo ni fupi. Kuna mahali atajichanganya tu na hapo ndiyo itakuwa bye bye
Huoni atapangua maswali yako maana nayeye anaupitia huu uzi
 
Back
Top Bottom