Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaStory kama hz hazina uhalisia wowote...ukitizama tu story ilivyoanza
[emoji38]Pole sana mkuu. Nyota njema/mbovu huonekana asubuhi mkuu. Fanya maamuzi magumu kabla huyo mwanafunzi wako hajakuzika, not only kwa pressure, bali pia kwa kale kaugonjwa ambako Mhenga Alhaji Alli Hassan Mwinyi alisema kameangukia sehemu mbaya sana
Rafik angu upo?Hii akiri ya kijinga sana, kila kitu mnaomba ushauri humu. Unataka uambiwe nn?
Hii inaonesha watu wengi hatuna maamzi binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
haa haa dushe halina uvumilivu tatizo....likianza kuchorwa tu litapata hasira na kazi itaishia hapoNa weye chora kwenye dushelele. Tena mchoraji wako awe mwanamke. Kama noma na iwe noma.
Hahahahaaa! Wacha iwe tu. Inaitwa "Chokoza Nikuudhi"!haa haa dushe halina uvumilivu tatizo....likianza kuchorwa tu litapata hasira na kazi itaishia hapo
[emoji23][emoji23]naomba namba ya huyo mchora tatuu mkuu nataka na mimi nichore kwenye chura yangu