kirumonjeta
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 3,966
- 1,965
Nawe mchore huyo jamii mahala hapohapo!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena huenda ni Mentor wa zaidi ya wanafunzi 10.Ningehakikisha kuwa kweli wewe ni mwalimu huko UDOM ningehamisha mdogo wangu huko wallahi tena. Sio akili za academician hizi, yaani hafahamu namna ya kutatua changamoto zake mwenyewe hadi aanike aibu zake hadharani. Kama ni kweli basi ndio maana wahitimu wanakuwa watupu vichwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
“Nimemkuta mke wangu AKICHORWA Tatoo ya TAKO Chumbani kwangu
Naitwa John ni mfanyakazi wa chuo Kikuu cha Udom, nimeoa mwaka jana tu na mke wangu alikuwa ni mwanafunzi wangu, tulianza mahusiano akiwa hapa chuo mie nikiwa mwalimu wake na yeye akiwa mwanafunzi mwaka 2014.
Baada ya kumaliza niliamua kumuoa, lakn baada ya kumuoa kuna vijitabia fulani amekuwa akinionyesha ambavyo sivipendi sana, amekuwa akinidharau na kutoka bila hata kuniaga, hivi majuzi nilisafiri kikazi lakini nikapata dharura nikarudi nyumbani ghafla, nilichokikuta MUNGU ndio anajua “Nilimkuta Mwanaume Chumbani kwangu AKIMCHORA TATTOO KWENYE MATAKO” Nilishikwa na butwaa lakini yeye akaonyesha kutojali kitu na akaniambia niache ushamba, ameamua Kumleta Hapo nyumbani kwani ni Sehemu Salama Zaidi.
Nishaurini wadau, Nifanyeje maana Huyu Mwanamke Ataniua na Presha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa my popp mwenzangTukutane usiku.
Ndyo maana huolewinaomba namba ya huyo mchora tatuu mkuu nataka na mimi nichore kwenye chura yangu