Nmemkuta mke wangu anachorwa tatoo matakoni nyumbani na mwanaume

Ulikuwa mwalimu wake, sasa umegeuka kuwa mwanafunzi wake. Endelea kufanya asignment zake, ukimaliza hiyo ya namna ya kuchorwa tatoo kwenye tako, naiona nyingine ya kutafiti mimba yake ya kupewa na sauti ya malaika.
 
Pole sana mkuu. Nyota njema/mbovu huonekana asubuhi mkuu. Fanya maamuzi magumu kabla huyo mwanafunzi wako hajakuzika, not only kwa pressure, bali pia kwa kale kaugonjwa ambako Mhenga Alhaji Alli Hassan Mwinyi alisema kameangukia sehemu mbaya sana
[emoji38]
 
Pole sana...

Kheri kafanyia nyumbani, kuliko angeenda workshop kwa mchoraji...

Kama kakuambia ameamua kufangia tattoo nyumbani kwani ni sehemu salama, wasi wasi wako nini...


Cc: mahondaw
 
Mkuu pambana na hali yako

the great
 
Story nzur inavutia unaweza mpita the bold au shigongo trust me!!!
 
Kama unaweza achana na huyo dada yani hata kukuheshimu hakuheshimu inaelekea wewe ni kama zezeta mbele ya huyo mke wako..........trust me hapa tutaongea weeee ila hauwezi kumuacha
 
Huna mke mkuu anachukuaje maamuzi hayo ya kujichora tatoo bila kushauriana na mume wake tena huko matakoni pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…