Nmemkuta mke wangu anachorwa tatoo matakoni nyumbani na mwanaume

Kwanza iyo tato anamchorea nani kweny makalio uko ni kukosa adabu yeye pamoja na mchora tatto wake watimue uko mbali wakachorane vizurii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena huenda ni Mentor wa zaidi ya wanafunzi 10.
 
Wanaosema ndo no furaha wapime hayo maneno. Mwili mmoja huku mwingine tattoo na mwingine Hanna! Vizazi vijavyo vitaitazama ndoa tofauti na sisi.
Watu watazaa kwa mkataba na kwenye maabara.
Vinginevyo vitapatikana kwa kuuza na kununua.
Kama mwisho wa dunia upo basi hiyo itakuwa ishara kuu.
MKUU POLE ILA TAFAKARI UPYA. UAMUZI NI WAKO

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nina uhakika na haya yafuatayo:

- Huyo mtoto bado ana umri mdogo sana, na u dont speak on the same frquecy, uelewa wake ni mdogo.
- Ulimsifia sana kwamba yeye ni mzuri sana, na kila alichokuambia umekuwa unakubaliana naye.
- Humuonyeshi misimamo unapoamua mamboa, akikutingisha kidogo unalegea na kuwa mpole.
- Uliharakisha kumuoa baada ya kumpenda alivyo ukaona unamuwahi wasije wakamchukua.

Mtazamo wango:

- Ulikosea kumuoa, uliharakisha.
- I wish ugundue mapema na umwondoe kwako akijifunze kuwa na adabu na kuishi na mwanaume.
- Ukimwonyesha msimamo wako anaweza badilika maana umemuharibu mwenyewe.
 
Hivi ni kweli? Kuoa ni mtihani mgumu sana, haya watu wenye wake wanyooshe mkono utanyoosha kweli? Aiseee huna mke ni dharau iliyopitiliza, wachoragi vipi mnawaacha salama???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnapokubaliana kuoana ni vyema mkakubaliana na kanunu fulani fulani, mfano mimi nilisema mambo ya kwenda ngomani sijui mkoleni, kwenye madogoli na mikesha ya nyumba za ibada isioisha mpaka nyumbani kunadoda siyawezi, na yeye akasema nasikia kabila lenu wanapiga wake zao sana, mimi siyawezi. Tukakubaliana mpaka leo amani. Usipoweza kufunguka ya moyoni mwako basi nakupa pole sana, utayaona mengi.
 
Siwapendi walimu wanaotembea na wanafunzi wao kwa level yoyote, wala sikuhurumii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…