Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,189
- 6,450
Nakupongeza walau kwa kuwa mkweli kuhusu Chama,mwingine yuko tayari aende kaburini ilimradi hayuko tayari kukubali Chama ni aina ya wachezaji wachache sana ambao Mungu huamua kuuzawadia ulimwengu wa wapenda soka.
Ila kuhusu kwenda kwa Mganga mlienda.Kuna Chimbo 1 mlimpeleka Hassan Kessy na jamaa wengine 3 wa Nkana ila mambo ya yamebuma.
So?Kitendo kilichotokea leo sijawahi waza kuna siku ntashingilia mikia.bao la chama lilinifanya nishangilie huku nmekunja uso na kujawa huzuni sana.
Sielewi ilikuaje lakini nlijikuta nmeamka na kuanza kuruka ruka nikipa piga meza huku na kurusha mikono huku nikiwa nmekunja uso.
Mtani mpira mnao.kiukweli tu nakubali mpira mnao.na huyu chama ni bonge la chama.yaani mtu mmoja ni kama chama la wana.
Mtaenda kutana na waarabu....angalieni huko mbele.yanga babu yetu dawa zake hatukuweza kuziingiza taifa baada ya makomandoo wa simba kutushika na kutupiga kinyama.haina noma lakini tukutane ligi kuu.
Kitendo kilichotokea leo sijawahi waza kuna siku ntashingilia mikia.bao la chama lilinifanya nishangilie huku nmekunja uso na kujawa huzuni sana.