Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,189
- 6,450
Kitendo kilichotokea leo sijawahi waza kuna siku ntashingilia mikia.bao la chama lilinifanya nishangilie huku nmekunja uso na kujawa huzuni sana.
Sielewi ilikuaje lakini nlijikuta nmeamka na kuanza kuruka ruka nikipa piga meza huku na kurusha mikono huku nikiwa nmekunja uso.
Mtani mpira mnao.kiukweli tu nakubali mpira mnao.na huyu chama ni bonge la chama.yaani mtu mmoja ni kama chama la wana.
Mtaenda kutana na waarabu....angalieni huko mbele.yanga babu yetu dawa zake hatukuweza kuziingiza taifa baada ya makomandoo wa simba kutushika na kutupiga kinyama.haina noma lakini tukutane ligi kuu.