Nmeshangilia Bao la Chama bila kujua. Nikiwa nmekunja uso na huzuni kubwa.

Bill Lugano

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
1,189
Reaction score
6,450
Kitendo kilichotokea leo sijawahi waza kuna siku ntashingilia mikia.bao la chama lilinifanya nishangilie huku nmekunja uso na kujawa huzuni sana.

Sielewi ilikuaje lakini nlijikuta nmeamka na kuanza kuruka ruka nikipa piga meza huku na kurusha mikono huku nikiwa nmekunja uso.

Mtani mpira mnao.kiukweli tu nakubali mpira mnao.na huyu chama ni bonge la chama.yaani mtu mmoja ni kama chama la wana.

Mtaenda kutana na waarabu....angalieni huko mbele.yanga babu yetu dawa zake hatukuweza kuziingiza taifa baada ya makomandoo wa simba kutushika na kutupiga kinyama.haina noma lakini tukutane ligi kuu.
 
Nakupongeza walau kwa kuwa mkweli kuhusu Chama,mwingine yuko tayari aende kaburini ilimradi hayuko tayari kukubali Chama ni aina ya wachezaji wachache sana ambao Mungu huamua kuuzawadia ulimwengu wa wapenda soka.

Ila kuhusu kwenda kwa Mganga mlienda.Kuna Chimbo 1 mlimpeleka Hassan Kessy na jamaa wengine 3 wa Nkana ila mambo ya yamebuma.
 
Tulienda ilikuwa mlale kama msingezuia wale watu wetu kwenda kuweka dawa uwanjani.

So?
 
Aisee nyie watu wa ajabu sana mnazui Simba isishinde? Simba ikifanya vizuri timu zinaongezeka huoni MIsri,South Africa,DRC NA tunisia wana timu nyingi.Kwa sababu timu zao zinafanya vizuri kwenye group stage.Tuache ujinga huo,bora kumshangilia sio kumsaidia mgeni.Sasa mmeumbuka simba wako vizuri msimu huu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kitendo kilichotokea leo sijawahi waza kuna siku ntashingilia mikia.bao la chama lilinifanya nishangilie huku nmekunja uso na kujawa huzuni sana.

Sielewi ilikuaje lakini nlijikuta nmeamka na kuanza kuruka ruka nikipa piga meza huku na kurusha mikono huku nikiwa nmekunja uso.

Mtani mpira mnao.kiukweli tu nakubali mpira mnao.na huyu chama ni bonge la chama.yaani mtu mmoja ni kama chama la wana.

Mtaenda kutana na waarabu....angalieni huko mbele.yanga babu yetu dawa zake hatukuweza kuziingiza taifa baada ya makomandoo wa simba kutushika na kutupiga kinyama.haina noma lakini tukutane ligi kuu.

Simba ndiyo timu pekee hapa Tanzania yenye kawaida ya kuwafunga waarab. Angalia kumbukumbu zako vizuri utaliona hili ila kwa Wagogo wa Jangwani a.k.a. Yanga (ombaomba) hamna kitu, wao wanasifikana kwa kupitisha makopo pale Jangwani kuomba michango isiyo na kikomo kila kukicha.
 
Back
Top Bottom