UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,316
Himidini njoo update ile list tena, members waendelee kufanya maamuzi!Nivea kiongozi mkuu wa mapinduzi hadi sasa hv ofisi ipo wazi hakuna mwenyekiti, kwann?????
Basi natumia fursa hii kumtangaza Arabela kuwa mwenyekiti mpya wa cc, kamati na wajumbe wengine wataendelea kupendekezwa na kupigiwa kura kadri muda unavyoruhusu!
Hureeeeeeeeeeeeee Hureeeeeeeeeeeee Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Arabela
Yaani KOKUTONA mpaka naumwa aise yaani pokea nanihino ya nguvu
Lady doctor una yako na wewe
Huyo Arushaone na Erickb52 wanakagukiwa mwaka mzima huo ukaguzi gani
nzuri! King wa afya kabitha! Umeenda kanisani weye!!?