Nmvua baba v uenyekiti wa chit chat !!!!hata kama wengi wenu mmekuwa vipofu!!

Nmvua baba v uenyekiti wa chit chat !!!!hata kama wengi wenu mmekuwa vipofu!!

Inahitajika veto moja kumpata mwenyekiti,inaonyesha baba v kaloga kweli kila mwenye nia anapata ajali ya roho,pole sana watu8 kwakuuza utu wako kisa hongo ya baba v.nampendekeza Bishanga basi

Kura yangu ya veto nitaitumia kama Bishanga atagombea au kupendekezwa kugombea nafasi..
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh....
kama ni fweza ninayo hilo la kuhongwa wala halipo...nimechoka tu kula posho zenu za mahari maana mwenyekiti huwa ana pa diemu yake...

Inahitajika veto moja kumpata mwenyekiti,inaonyesha baba v kaloga kweli kila mwenye nia anapata ajali ya roho,pole sana watu8 kwakuuza utu wako kisa hongo ya baba v.nampendekeza Bishanga basi
 
Last edited by a moderator:
karibu tupike daku Baba V shem wangu nakusalimu
 
Last edited by a moderator:
Shem Nivea unaongoza mapinduzi kwa kutumia kikosi cha msituni.
 
Last edited by a moderator:
Shem Nivea unaongoza mapinduzi kwa kutumia kikosi cha msituni.

Mhe, Loya!
Hivi ni lini tulipiga kura kumuweka Baba V uenyekitini?
Kisha paetishwe kura za kumuondoa?
Au mtoa mada hakumbuki vizuri Baba V alivyoupata huo uenyekiti ?
Siungi mkono hoja!
Style aliyoitumia kuupata uenyekiti, ndiyo itakayotumika kuondokea, siku atakayojisikia kufanya hivyo.
 
Last edited by a moderator:

Marekebisho:
Hapo kwa mweka hazina itabidi tumuweke Mrs Bishanga ili azoee hela kwa maana Bishanga wake
amekaa naye miaka yote ila mpaka sasa mkewe hajazoea kushika minoti.

Hilo ni pendekezo tu, ila sijakupinga Nivea ila tumsaidie huyu kiumbe aweze kuzoea noti noti.

You dont really know me, my husband vested all the financial responsibilities on me......After all, I started interacting with them money since my childhood. May be you have to try other laddies in this forum who seem to be less interactive with finances and other big papas in town.
 
Wasaalam
Habari za madakika wana cc najua wengine mnapumulia mashine kwa upepo mchafu uliopita muda sio mrefu!!
mimi kama mwana CC nasikitishwa na utendaji kazi wa mwenyekiti ,huyu
Baba V ameshindwa kutoa kauli kuhusu kimbunga na upepo uliopita cc uliopelekea watu kadhaa kufa na wenguine kujeruhiwa mioyo sasa basi kulingana na katiba ya CC na madaraka tuliyomkabidhi na akadiriki kuwa kimya mpaka sasa nafikiri huyu mwenyekiti hatufai kabisa ni sawa na baba aliyesikia mwiziiiiiiii akakimbilia darini nakuiacha familia chini !!!sasa basi mimi binafsi na nafsi yangu namvua huyu mwenyekiti wa cc na simtambui tena

cc
Baba V

TUPENDEKEZE NA TUPIGE KURA KUPATA MWENYEKITI MPYA

Watakao endelea kumkubali hao ni wale walioohonga kupata KE /ME
sintakawia kumrepot abuse mtu akileta zilipendwa hapa -strictly prohibited
NAWASILISHA

Kweli nimeamini stress hazifai.. Nivea hata siku moja usiamue jambo ukiwa na stress pia usiahidi jambo ukiwa na furaha sana. waujua uenyekiti wewe..!??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom