Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,771
- Thread starter
- #41
kha best ntakufuta kwenye list unaniangusha hata jeshi la misri lilikuwa pia linampenda yule raisi aliyepinduliwa ila linapokuja swala la mapinduzi wewe ndio unashika kiti kile.

Hizi dhana ndio zinaiweka CCM mpaka leo madarakani unanijua mimi ni nani kwenye CCB ???? unanijua mimi sio mjumbe wa kawaida Mzee tulia kama hukubali basi baba v tumempindua na utakubali uongozi mpyaNivea umetumwa na nani?. Umepata wapi mamlaka ya kumvua uongozi kiongozi aliyechaguliwa na wajumbe?
Unachopaswa kufanya ni kushawishi Wajumbe tupige kura ya kutokuwa na Imani na Mwenyekiti (Kumbuka si lazima wote tukubali). Jukwaa linafata utawala wa Sheria.
kha best ntakufuta kwenye list unaniangusha hata jeshi la misri lilikuwa pia linampenda yule raisi aliyepinduliwa ila linapokuja swala la mapinduzi wewe ndio unashika kiti kile.
naombeni kura zenu nataka kuwa kwenye kamati ya nidhamu