Nmvua baba v uenyekiti wa chit chat !!!!hata kama wengi wenu mmekuwa vipofu!!

Nmvua baba v uenyekiti wa chit chat !!!!hata kama wengi wenu mmekuwa vipofu!!

fomr ni hiyo sehemu ya wazi ya reply quick baaasi au bado mnaogopa huyo baba v naona mnakuwa wazito sana


nampendekeza watu 8 nafasi ya uenyekiti
saudati mpiga picha na mtunza kumbukumbu
chimbuvu kamati ya mahusiano
queen kan uratibu wa ndoa na mahusiano

uko sawa kabisa! Nampendekeza pia watu8 kwa nafasi ya mwenyekiti!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Haya mapinduzi si halali.. Apewe kwanza muda wa kujitetea. Pengine kuna neno la kutifaa.

Tumpe muda.
Nivea
 
Last edited by a moderator:
Nivea umetumwa na nani?. Umepata wapi mamlaka ya kumvua uongozi kiongozi aliyechaguliwa na wajumbe?

Unachopaswa kufanya ni kushawishi Wajumbe tupige kura ya kutokuwa na Imani na Mwenyekiti (Kumbuka si lazima wote tukubali). Jukwaa linafata utawala wa Sheria.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom