LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Concern yangu ni kwenye ishu ya COVID -19. Zile story za kwamba ukifika DIZONGA lazima ukae karantini wiki mbili kwenye hoteli ya 5 star kwa gharama zako mwenyewe zina ukweli wowote? Vipi kuhusu wimbi jipya la maambukizi ya COVID ni kama tunavyo aminishwa na media au huko hali ni tofauti please mliopo sauz now fungukeni.
kama hiyo ishu ya KARANTINI ni kweli, vipi nikienda kwa bus? naweza kupata upenyo wa kukwepa huo utaratibu ?
with much thanks in advance
kama hiyo ishu ya KARANTINI ni kweli, vipi nikienda kwa bus? naweza kupata upenyo wa kukwepa huo utaratibu ?
with much thanks in advance