asante kwa taarifa mkuu. nilikuwa nahofia sana ishu ya lockdown for 14 days. siku 14 sio mchezoNimefika hapa Cape Town nina week 1 sasa nikitokea bongo, nilikuja kwa njia ya bus usumbufu ulikuwa mkubwa hasa kwny issue ya Covid. Kama unasafiri kwa ndege itakuwa afadhali kwako lkn make sure umepima Covid na una PCR Test Certificate. Achana kabisa na kipimo cha Rapid test hicho watakuzingua.
Kipindi nakuja hapa SA ilikuwa lockdown level 3 kwasasa ni level 4. Habari za kukaa karantine hazikuwepo wakati wa level 3 lockdown naamini hadi sasa hakuna habari za Karantine.