Nna shida na gari

Nna shida na gari

Kwa gari ulizotaja utapata ila kwahiyo bei hazitakuwa nzuri unavyotaka.
 
Ingia kupatana, kisha search gari mojamoja utapata pa kuanzia. Angalizo; wengi ni madalali.
 
Ukikwama kabisaa njoo nikupe Subaru Impreza GG3, SYMMETRICAL AWD,cc1500, number CLX, ya 2005 color Blue beige. Uje na fundi wako akague. Mkiridhika biashara iendelee.
Umtahadharishe pia na bajeti yake ya mafuta asije kulialia baadae.
 
Habarini wana jamvi nna shida na gari japokua bajeti yangu kidogo ni ya mashaka mkuu mshana jr na RRONDO naomba mnisaidie maana nmeona kidogo nyie mna ideas na magari...gari zenyewe ni spacio au gx 110 grand au runx au premio new model hata zikiwa namba c sio mbaya japo bajeti yangu ni ndogo lakini zisiwe zimetumika sana...bajeti yangu ni 6.5 mwisho

Kwa bajeti hio unapata hizo gari. Tafuta taratibu tu.
 
Hio budget unapata ndinga nzuri tu ila wanaa watakwambia hela ndogo sijui nini.

Kuna mshkaji majuzi hapa sinza amenunua brevis no. D kwa 6.0mil haijawahi kugongwa,kupigwa rangi wala engine kuguswa.

Kua na subira/uvumilivu utapata gari poa kwa hio pesa yako.
Huwezi pata brevis kwa 6m kamwe.
 
Kwahyo bei uliyoweka, gari unayoweza kupata kwa urahisi ni gx 110, hzo ni gari ambazo wenye kujua magari hawazitaki, fuel consumption ipo juu sana

Kwahyo ikishafika mkonon, huwa inauzwa kwa bei yakutupa, hta ukiwa na 5.5 unapata gx 110 iliyonyoooooka.

Hapo kwenye premio new model, kwenye bei hyo, kupata iliyonyooka sio rahisi, maana ni gar inayokimbiliwa sana, yan hta ukiinunua ukatembelea, ukisema NAUZ.... hujamalizia neno mteja ashapatikana.

Uchaguzi mwema mkuu.
 
Hio budget unapata ndinga nzuri tu ila wanaa watakwambia hela ndogo sijui nini.

Kuna mshkaji majuzi hapa sinza amenunua brevis no. D kwa 6.0mil haijawahi kugongwa,kupigwa rangi wala engine kuguswa.

Kua na subira/uvumilivu utapata gari poa kwa hio pesa yako.
....Mkuu hizo nasikia watu wanazikimbia due to high running costs, nyingi wanauza hizo bei.
Mkuu nakushauri ungewainbox hao jamaa ulowataja inawezekana wako bize!Hivi huku mkuu Jozee hayupo?!
 
df0077981f82ba71b9816378ff3d9298.jpg
21289e18a92b3dbc9736e20fc136dadb.jpg
8f031f29b77f15c29019d98cda0fd6d6.jpg
5cbbe4f730d927f9e3a4f2f765dd906c.jpg
c2e568c6b119654c4093c8dced53b880.jpg
f510e445f2353d7143199d9de0369735.jpg
 
Jamani wadau msaada tafadhali, mimi pia naitaji Probox mwenye kufahamu vizuri magari haya naomba msaada
 
Back
Top Bottom