Nna shida na gari

Nna shida na gari

Habarini wana jamvi nna shida na gari japokua bajeti yangu kidogo ni ya mashaka mkuu mshana jr na RRONDO naomba mnisaidie maana nmeona kidogo nyie mna ideas na magari...gari zenyewe ni spacio au gx 110 grand au runx au premio new model hata zikiwa namba c sio mbaya japo bajeti yangu ni ndogo lakini zisiwe zimetumika sana...bajeti yangu ni 6.5 mwisho

Kama una 7.5 niinbox faster. Nina Spacio Namba CS...
Ninaelekea masomoni na sina wa kumwachia kwa hiyo kama itapata mnunuaji nitauza, ila ikikosa ndo basi itapaki tuu na kupashwa mara moja moja
 
Kama una 7.5 niinbox faster. Nina Spacio Namba CS...
Ninaelekea masomoni na sina wa kumwachia kwa hiyo kama itapata mnunuaji nitauza, ila ikikosa ndo basi itapaki tuu na kupashwa mara moja moja
Umeshaiuza???
 
Back
Top Bottom