Nna shida na gari

Kwa gari ulizotaja utapata ila kwahiyo bei hazitakuwa nzuri unavyotaka.
 
Ingia kupatana, kisha search gari mojamoja utapata pa kuanzia. Angalizo; wengi ni madalali.
 
Ukikwama kabisaa njoo nikupe Subaru Impreza GG3, SYMMETRICAL AWD,cc1500, number CLX, ya 2005 color Blue beige. Uje na fundi wako akague. Mkiridhika biashara iendelee.
Umtahadharishe pia na bajeti yake ya mafuta asije kulialia baadae.
 

Kwa bajeti hio unapata hizo gari. Tafuta taratibu tu.
 
Huwezi pata brevis kwa 6m kamwe.
 
Kwahyo bei uliyoweka, gari unayoweza kupata kwa urahisi ni gx 110, hzo ni gari ambazo wenye kujua magari hawazitaki, fuel consumption ipo juu sana

Kwahyo ikishafika mkonon, huwa inauzwa kwa bei yakutupa, hta ukiwa na 5.5 unapata gx 110 iliyonyoooooka.

Hapo kwenye premio new model, kwenye bei hyo, kupata iliyonyooka sio rahisi, maana ni gar inayokimbiliwa sana, yan hta ukiinunua ukatembelea, ukisema NAUZ.... hujamalizia neno mteja ashapatikana.

Uchaguzi mwema mkuu.
 
....Mkuu hizo nasikia watu wanazikimbia due to high running costs, nyingi wanauza hizo bei.
Mkuu nakushauri ungewainbox hao jamaa ulowataja inawezekana wako bize!Hivi huku mkuu Jozee hayupo?!
 
Jamani wadau msaada tafadhali, mimi pia naitaji Probox mwenye kufahamu vizuri magari haya naomba msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…