simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,498
- 1,216
Gari umepata njoo PMHabarini wana jamvi nna shida na gari japokua bajeti yangu kidogo ni ya mashaka mkuu mshana jr na RRONDO naomba mnisaidie maana nmeona kidogo nyie mna ideas na magari...gari zenyewe ni spacio au gx 110 grand au runx au premio new model hata zikiwa namba c sio mbaya japo bajeti yangu ni ndogo lakini zisiwe zimetumika sana...bajeti yangu ni 6.5 mwisho
zpo nying xnAaa kwa iyo bei ya m6Huwezi pata brevis kwa 6m kamwe.
0655229028Habarini wana jamvi nna shida na gari japokua bajeti yangu kidogo ni ya mashaka mkuu mshana jr na RRONDO naomba mnisaidie maana nmeona kidogo nyie mna ideas na magari...gari zenyewe ni spacio au gx 110 grand au runx au premio new model hata zikiwa namba c sio mbaya japo bajeti yangu ni ndogo lakini zisiwe zimetumika sana...bajeti yangu ni 6.5 mwisho
Gari unapata man, usimkatishe tamaa..kwa wanaouza wenyewe gari zao sio madalali anapata vizuri tu!Huwezi pata brevis kwa 6m kamwe.
Brevis inauzika maana ina udugu na sheli wakati raia hawapendi kabisa kusikia habari za sheli!Kuna jamaa humu anabisha,brevis watu wanaziuza bei ya kawaida sana hapa dar.
Mkuu ikipatikana kwa hyo bei na mm nataka nishtueGari unapata man, usimkatishe tamaa..kwa wanaouza wenyewe gari zao sio madalali anapata vizuri tu!
Poa kaka ngoja nikupe mfanoMkuu ikipatikana kwa hyo bei na mm nataka nishtue
Mkuu usisumbuke kumweleza. Huyo jamaa huenda ni dalali ndo maana anasema hizo kauli. eti kamwe huwezi kupata kana kwamba yeye ndo anawapangia wenye magari wote wauzeje magari yaoView attachment 609597 View attachment 609600
Hii gari imetoka juzi kwa 4.5m ni namba D...Ni ya jamaa yangu ameuza ila angewapa madalali ungesikia habari za million 7.5 huko
Zeus1
4 mkuu??kama kweli alienunua amebahatika sana mkuu,gari umetulia sanaaView attachment 609597 View attachment 609600
Hii gari imetoka juzi kwa 4.5m ni namba D...Ni ya jamaa yangu ameuza ila angewapa madalali ungesikia habari za million 7.5 huko
Zeus1
Mkuu hawa madalali sio kabisaView attachment 609597 View attachment 609600
Hii gari imetoka juzi kwa 4.5m ni namba D...Ni ya jamaa yangu ameuza ila angewapa madalali ungesikia habari za million 7.5 huko
Zeus1
Ndio uone sasa kuwa hilo jambo linawezekana mno. Hio ni biashara clean bila dalali hapo.4 mkuu??kama kweli alienunua amebahatika sana mkuu,gari umetulia sanaa
Hao ndio wanafanya biashara kuwa ngumu bure tu ila kungekuwa na system ya kuuziana direct bila wao biashara rahisi mno!Mkuu hawa madalali sio kabisa
Hivi ukiwa na 4m unaweza pata IST iliyosisimama walai vile, mkuu ukiona nidipu fastaa niifuateNdio uone sasa kuwa hilo jambo linawezekana mno. Hio ni biashara clean bila dalali hapo.
Poa kamanda usiwaze!Hivi ukiwa na 4m unaweza pata IST iliyosisimama walai vile, mkuu ukiona nidipu fastaa niifuate