Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,305
Anytime my dear+asante pia,usiuchune tena dada T......lol
teh teh !
aya .
nimekoma:twitch:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anytime my dear+asante pia,usiuchune tena dada T......lol
hewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
uyumwiki?
ushawai kuwachek kitu t kitu k?
Watoto wa bugurun sjui mwananyamala wale dahhhh achaaaaa....vtu vnaclap hands nakwambia...wale wanakatika diaphram pelvis gidle wanaichinja....nenda ukawachek wanakwepo club continental j5...
Wale mabinti mi siwataki kabisa....
Mheshimiwa simruhusu kwenda bar peke yake, kama hataki kuongozana na mimi basi tunanunua na tunanywea ndani.
Wale mabinti mi siwataki kabisa....
Mheshimiwa simruhusu kwenda bar peke yake, kama hataki kuongozana na mimi basi tunanunua na tunanywea ndani.
Abiria chunga mziko wako mama
Mauno ya kitandani na ya kucheza mziki tofauti ndugu yangu.
Sitaki mheshimiwa asogee huko kwa kuwa wanaume wanatamani kwa kuona.