Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
AminaDah! Nmeumaliza huu uzi kwa huzuni sana! Huyu mwamba nlikua namkubali sana. Muziki wake ulikua wa viwango vikubwa sana, lakini haukumfaidisha vile inatakiwa, mpaka ametangulia mbele za haki akiwa bado hajawa na uchumi mzuri. Ni vile tu dunia haiko fair. Itoshe tu kusema, APUMZIKE KWA AMANI.
Au sioOl n ol Albert ndo my best mc of all time kwa Tz
Iko WaziAu sio
Pengine labda ni ule wimbo wake wa "nipeni dili masela"Kifo chake kilisababishwa na nini?
Inaelekea sio mfuatiliaji..Kama Mgempa hii crown ya Hip hope Ngwear still akiwa hai sidhani kama angekubari kuwa punda mpaka kufa kifo cha Aibu.
Nachokiona hapa hata Ferooz na Dark master na Dazz Baba siku wakifa lazima bila Aibu mtawavisha crown aliyakuwa wameshakufa.
Abdallah Mtolea kwema huko?R.I.P Ngwea, ngoma zako mpaka leo zinaniburudisha sana
Ndo nani uyo?Abdallah Mtolea kwema huko?
Eeh bhana eehMisosiiii mitungi na bangi... ooh yiaaaah!!.. kama ukitaka kuvinjari nasi basi mfukoni mwako.uwe safiii.. cheki lile anti lilovaa skin taiti.. ebwanaee liko safi.........
Kuna wakati alikuwa amechoka sana, nadhani kwasababu ya madawa hadi magazeti ya Shigongo yakaanza kumwandika.Ukiisikiliza hii ngoma ya NIPENI DILI MASELA.
Unagundua ndo ngoma pekee ya NGWEAR ambayo alianza kuuona ugumu wa maisha.
Na baada ya kunyimwa hizo dili akakimbilia SOUTH.
AiseeKuna wakati alikuwa amechoka sana, nadhani kwasababu ya madawa hadi magazeti ya Shigongo yakaanza kumwandika.
Kwamba mchizi, kila anavyolazimisha kujiweka lakini bado alionekana kachoka.
Baadaye ndio akatoa Nipeni Dili, Speed 120 na CNN ndio akaanza kupata show hasa Fiesta.
Huyu jamaa sio mapambio alisifiwa Akiwa hai ... Mbaya sana huyuMtu akishakufa....mapambio huwa mengi.