No body cares: Watu tupo bize mtandaoni, tume-lose touch na human connection

Watoto wanamaono makubwa sana...😄(good story💯)
 
Acha kujifariji dada, ningekua naya waste, nisingeleta uzi humu nyie ndo mnao sababisha watu waendelee kua kwenye hii viscous cycle eti maisha ndo hayahaya [emoji1787][emoji1787]
Sasa kuna maisha mengine nje ya haya? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu eleza hapa.
 
Hivi hata wenzetu westerners wamekua hivi sio? Yaani imefika stage mtu simu ikizima chaji anapata stress isiyo na kipimo hata haongei na watu
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yeah. Ni kwa sababu ya utoto tu, angekuwa mtu mzima (adult)angelisema HAKUNA UPENDO (Parental love) kwangu. Upendo kwangu umechukuliwa na simu.
Exactly, nilimaanisha hivyo pia watoto hawana ego, japokua hawana ujuzi mkubwa ila they can see things on a bigger scale.
 
Well said mkuu angalau tunaweza pata suluhisho.
 
Exactly, nilimaanisha hivyo pia watoto hawana ego, japokua hawana ujuzi mkubwa ila they can see things on a bigger scale.
Na ndo maana tunaaswa sana tusiwa-underestimate watoto kwamba eti hawajui na tukafanya "mambo makubwa" mbele yao. Tuhukue tahadhari kwa yale tufanyayo mbele ya watoto kwani hilo ni darasa kwao.
 
Na ndo maana tunaaswa sana tusiwa-underestimate watoto kwamba eti hawajui na tukafanya "mambo makubwa" mbele yao. Tuhukue tahadhari kwa yale tufanyayo mbele ya watoto kwani hilo ni darasa kwao.
Hakika, mtoto hujengwa na malezi, na kamwe mtoto hatasahau vile alovyo viona akiwa mdogo, hii imesabisha trauma kwa wengi wetu bcoz tulikua exposed na vitu vibaya ambavyo kipindi hicho hatukua na emotional maturity ya kuvihandle. Na mtu alivyo ukubwani percent kubwa imejengwa na vile alivyo experience utotoni.
 
Exactly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…