This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Yanga wamezindua remix ya bia tamu. πππSimba bado wanasherehekea droo π€£π€£π€£
Hii sare we hata ya kijora huipati ktk ule uwanja.Simba bado wanasherehekea droo π€£π€£π€£
mhaho!Simba bado wanasherehekea droo π€£π€£π€£
Kwani mlivyochojolewa tena nyumbani na kuangukia viti maalum, hao wachezaji hawakuwepo??.Kabla hujaibeza SIMBA jiulize Ni timu gani Bongo hii inaweza kucheza mechi Tena ya kimataifa bila wachezaji tegemeo 7 na bado ikahimili mchezo na ikapata matokeo chanya ugenini. Ni Simba pekee.
Na hii inajibu yale maneno maneno ya kijiweni Ooooh Pablo Hana first eleven, kumbe pale simba timu yotee Ni kikosi cha kwanza, anaweza kucheza yeyote ktk mechi yoyote kulingana na mahitaji ya mechi.
Kuna tofauti ya klabu KUBWA na klabu kongwe/iluyozeeka.
Km mwanasport Ni nini mtazamo wako kwa jambo hili. Povu, kuhemka na kudemka, mhaho ruksa. Karibu!
Mimi nikiwa "Utopolo" muaminifu nakutaarifu kwamba usitubabaishe πππππKabla hujaibeza SIMBA jiulize Ni timu gani Bongo hii inaweza kucheza mechi Tena ya kimataifa bila wachezaji tegemeo 7 na bado ikahimili mchezo na ikapata matokeo chanya ugenini. Ni Simba pekee.
Na hii inajibu yale maneno maneno ya kijiweni Ooooh Pablo Hana first eleven, kumbe pale simba timu yotee Ni kikosi cha kwanza, anaweza kucheza yeyote ktk mechi yoyote kulingana na mahitaji ya mechi.
Kuna tofauti ya klabu KUBWA na klabu kongwe/iluyozeeka.
Km mwanasport Ni nini mtazamo wako kwa jambo hili. Povu, kuhemka na kudemka, mhaho ruksa. Karibu!
Ikitokea timu imefungwa yasianze mambo ya flani kwanini hapangwi mara coach hana mbinu tukubaliane mapemaKabla hujaibeza SIMBA jiulize Ni timu gani Bongo hii inaweza kucheza mechi Tena ya kimataifa bila wachezaji tegemeo 7 na bado ikahimili mchezo na ikapata matokeo chanya ugenini. Ni Simba pekee.
Na hii inajibu yale maneno maneno ya kijiweni Ooooh Pablo Hana first eleven, kumbe pale simba timu yotee Ni kikosi cha kwanza, anaweza kucheza yeyote ktk mechi yoyote kulingana na mahitaji ya mechi.
Kuna tofauti ya klabu KUBWA na klabu kongwe/iluyozeeka.
Km mwanasport Ni nini mtazamo wako kwa jambo hili. Povu, kuhemka na kudemka, mhaho ruksa. Karibu!
Hii sare we hata ya kijora huipati ktk ule uwanja.
Pili hujui thamani ya ile point moja, km unacheka Simba imetoa sare ingekuwa vipi tungefungwa.
Sare ile iliwafunga mdomo wachawi wote. Mji ukitulia sana halafu heshima ikachukua mkondo wake.
Na usichokijua Ni kwamba ule uwanja alietoa droo Ni mwanaumme kwelikweli kuanzia Al Ahly.
Uzuzu Ni pale unapomcheka mtu aliyefanya jambo fulani kwa mafanikio,Jambo ambalo wewe lilikushinda.
Wewe Ni zuzu hasa

huu ndiyo mhaho Sasa. Jadili hoja mezani, acha mhaho.Kwani mlivyochojolewa tena nyumbani na kuangukia viti maalum, hao wachezaji hawakuwepo??.