No Chama, Bwalya, Kibu, Mugalu, Mkude, Dillunga, Lwanga na Mzamiru -- no problem!

This is...

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
5,050
Reaction score
5,204
Kabla hujaibeza SIMBA jiulize Ni timu gani Bongo hii inaweza kucheza mechi Tena ya kimataifa bila wachezaji tegemeo 7 na bado ikahimili mchezo na ikapata matokeo chanya ugenini. Ni Simba pekee.

Na hii inajibu yale maneno maneno ya kijiweni Ooooh Pablo Hana first eleven, kumbe pale simba timu yotee Ni kikosi cha kwanza, anaweza kucheza yeyote ktk mechi yoyote kulingana na mahitaji ya mechi.

Kuna tofauti ya klabu KUBWA na klabu kongwe/iluyozeeka.

Km mwanasport Ni nini mtazamo wako kwa jambo hili. Povu, kuhemka na kudemka, mhaho ruksa. Karibu!
 
Simba sio underdog tene kwenye mashindano ya CAF, tayari imeshakuwa na uzoefu wa kutosha.

Kuna team licha ya kushika nafasi ya pili kila msimu na kujinasibu kwamba wanajua ball, huwa hawawezi kabisa kucheza huko hata round mbili tu.
 
Simba bado wanasherehekea droo 🤣🤣🤣
Hii sare we hata ya kijora huipati ktk ule uwanja.

Pili hujui thamani ya ile point moja, km unacheka Simba imetoa sare ingekuwa vipi tungefungwa.

Sare ile iliwafunga mdomo wachawi wote. Mji ukitulia sana halafu heshima ikachukua mkondo wake.

Na usichokijua Ni kwamba ule uwanja alietoa droo Ni mwanaumme kwelikweli kuanzia Al Ahly.

Uzuzu Ni pale unapomcheka mtu aliyefanya jambo fulani kwa mafanikio,Jambo ambalo wewe lilikushinda.

Wewe Ni zuzu hasa
 
Kabla hujaibeza SIMBA jiulize Ni timu gani Bongo hii inaweza kucheza mechi Tena ya kimataifa bila wachezaji tegemeo 7 na bado ikahimili mchezo na ikapata matokeo chanya ugenini. Ni Simba pekee.

Na hii inajibu yale maneno maneno ya kijiweni Ooooh Pablo Hana first eleven, kumbe pale simba timu yotee Ni kikosi cha kwanza, anaweza kucheza yeyote ktk mechi yoyote kulingana na mahitaji ya mechi.

Kuna tofauti ya klabu KUBWA na klabu kongwe/iluyozeeka.

Km mwanasport Ni nini mtazamo wako kwa jambo hili. Povu, kuhemka na kudemka, mhaho ruksa. Karibu!
Kwani mlivyochojolewa tena nyumbani na kuangukia viti maalum, hao wachezaji hawakuwepo??.
 
Mimi nikiwa "Utopolo" muaminifu nakutaarifu kwamba usitubabaishe 😂😂😂😂😂
 
Kabla hujaibeza SIMBA jiulize Ni timu gani Bongo hii inaweza kucheza mechi Tena ya kimataifa bila wachezaji tegemeo 7 na bado ikahimili mchezo na ikapata matokeo chanya ugenini. Ni Simba pekee.

Na hii inajibu yale maneno maneno ya kijiweni Ooooh Pablo Hana first eleven, kumbe pale simba timu yotee Ni kikosi cha kwanza, anaweza kucheza yeyote ktk mechi yoyote kulingana na mahitaji ya mechi.

Kuna tofauti ya klabu KUBWA na klabu kongwe/iluyozeeka.

Km mwanasport Ni nini mtazamo wako kwa jambo hili. Povu, kuhemka na kudemka, mhaho ruksa. Karibu!
Ikitokea timu imefungwa yasianze mambo ya flani kwanini hapangwi mara coach hana mbinu tukubaliane mapema
 
Hii sare we hata ya kijora huipati ktk ule uwanja.

Pili hujui thamani ya ile point moja, km unacheka Simba imetoa sare ingekuwa vipi tungefungwa.

Sare ile iliwafunga mdomo wachawi wote. Mji ukitulia sana halafu heshima ikachukua mkondo wake.

Na usichokijua Ni kwamba ule uwanja alietoa droo Ni mwanaumme kwelikweli kuanzia Al Ahly.

Uzuzu Ni pale unapomcheka mtu aliyefanya jambo fulani kwa mafanikio,Jambo ambalo wewe lilikushinda.

Wewe Ni zuzu hasa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti hata kijora hupati
 
Kuna Mashabiki wa timu ndogo hapa bongo utawasikia wakisema ; Sisi tulipigwa nje ndani kwasababu manyele sijui mayele na Djuma hawakuwepo
 
Hahahahahaha Simba Nguvu Moja
Hii sare we hata ya kijora huipati ktk ule uwanja.

Pili hujui thamani ya ile point moja, km unacheka Simba imetoa sare ingekuwa vipi tungefungwa.

Sare ile iliwafunga mdomo wachawi wote. Mji ukitulia sana halafu heshima ikachukua mkondo wake.

Na usichokijua Ni kwamba ule uwanja alietoa droo Ni mwanaumme kwelikweli kuanzia Al Ahly.

Uzuzu Ni pale unapomcheka mtu aliyefanya jambo fulani kwa mafanikio,Jambo ambalo wewe lilikushinda.

Wewe Ni zuzu hasa
 
Kwani mlivyochojolewa tena nyumbani na kuangukia viti maalum, hao wachezaji hawakuwepo??.
huu ndiyo mhaho Sasa. Jadili hoja mezani, acha mhaho.

Simba viti maalumu, na Utopolo yako ikaangukia wapi.

Aliyewaita mazuzu hakukosea !
 
Back
Top Bottom