This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Kabla hujaibeza SIMBA jiulize Ni timu gani Bongo hii inaweza kucheza mechi Tena ya kimataifa bila wachezaji tegemeo 7 na bado ikahimili mchezo na ikapata matokeo chanya ugenini. Ni Simba pekee.
Na hii inajibu yale maneno maneno ya kijiweni Ooooh Pablo Hana first eleven, kumbe pale simba timu yotee Ni kikosi cha kwanza, anaweza kucheza yeyote ktk mechi yoyote kulingana na mahitaji ya mechi.
Kuna tofauti ya klabu KUBWA na klabu kongwe/iluyozeeka.
Km mwanasport Ni nini mtazamo wako kwa jambo hili. Povu, kuhemka na kudemka, mhaho ruksa. Karibu!