Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaaaaa mwe ni waume watatu mwaya lol
Maty mdogo wangu... kama ingekua rahisi hivyo ndoa zisingevunjika
Waweza pokelewa hivyo halafu in just five minutes ukaingizwa tribunal ya nguvu (hata ya rwanda haikanyagi) na miswali laki saba na stini na nane elfu
nina ndoa tatu dia ya kanisani ya msikitini na ya kwa mkuu wa wilaya
hehehehe!kiburudisho hicho hicho kinachowafanya muhalalishe infi lol
hehehehe!
wacha we!........
sasa what if kama mimi nina uwezo wa kupata ''kiburudisho'' nje ya home katika utaratibu ule ule ninaoutumia kupata bia?...i mean kila nikirud nakuwa nimeshaburudika MAHABA_GUEST HOUSE na nimeshakunywa biya na kina generation-Y,st RR,Kimey et al.....itakuwaje sasa?
:A S crown-1::A S crown-1:
we unafaasi unaniambia tu sijisikii basi na mimi natulia ucje pata kisingizio cha kusema mke wangu ananipokea kanuna mara hivi mi natimiza tu wajibu wangu hayo mengine tena nakuachia mwenyewe kichwa cha familia
Thanx kwa kujali maslai yangu baadae unione nikupe maziwa ya ngamia mixed with valuer..Ulikuwa unatafutwa aisee na Kimey umemuona eeehhh kafurahi umerudi na sijui ulipotelea wapi?
yeah my dia mmoja anakaa mwanza mwingine nairobi, wa tatu kigoma mwisho wa reli hawajuani
Thanx kwa kujali maslai yangu baadae unione nikupe maziwa ya ngamia mixed with valuer..
hhehehehe!ndio mpango mzima mkuu.....![]()
Teh teh, Taemo naona inagaiwa hapa.