No divorce at all!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

No divorce at all!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Maty mdogo wangu... kama ingekua rahisi hivyo ndoa zisingevunjika

Waweza pokelewa hivyo halafu in just five minutes ukaingizwa tribunal ya nguvu (hata ya rwanda haikanyagi) na miswali laki saba na stini na nane elfu
 
MATY,
hivi kiburudisho ulikuwa una maana gani?
 
Maty mdogo wangu... kama ingekua rahisi hivyo ndoa zisingevunjika

Waweza pokelewa hivyo halafu in just five minutes ukaingizwa tribunal ya nguvu (hata ya rwanda haikanyagi) na miswali laki saba na stini na nane elfu

Nimecheka kama mazuri mwe, ndoa hizi ndio inatakiwa tubadilike
 
kiburudisho hicho hicho kinachowafanya muhalalishe infi lol
hehehehe!
wacha we!........

sasa what if kama mimi nina uwezo wa kupata ''kiburudisho'' nje ya home katika utaratibu ule ule ninaoutumia kupata bia?...i mean kila nikirud nakuwa nimeshaburudika MAHABA_GUEST HOUSE na nimeshakunywa biya na kina generation-Y,st RR,Kimey et al.....itakuwaje sasa?
:A S crown-1::A S crown-1:
 
Ulikuwa unatafutwa aisee na Kimey umemuona eeehhh kafurahi umerudi na sijui ulipotelea wapi?
 
si unaniambia tu sijisikii basi na mimi natulia ucje pata kisingizio cha kusema mke wangu ananipokea kanuna mara hivi mi natimiza tu wajibu wangu hayo mengine tena nakuachia mwenyewe kichwa cha familia
 
avatar13178_23.gif

Teh teh, Taemo naona inagaiwa hapa.
 
Ndoa tatu waume watatu au we maty wewe hebu taratibu kwanza aahh

yeah my dia mmoja anakaa mwanza mwingine nairobi, wa tatu kigoma mwisho wa reli hawajuani
 
si unaniambia tu sijisikii basi na mimi natulia ucje pata kisingizio cha kusema mke wangu ananipokea kanuna mara hivi mi natimiza tu wajibu wangu hayo mengine tena nakuachia mwenyewe kichwa cha familia
we unafaa
:A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1:
 
Ulikuwa unatafutwa aisee na Kimey umemuona eeehhh kafurahi umerudi na sijui ulipotelea wapi?
Thanx kwa kujali maslai yangu baadae unione nikupe maziwa ya ngamia mixed with valuer..
 
yeah my dia mmoja anakaa mwanza mwingine nairobi, wa tatu kigoma mwisho wa reli hawajuani

Sasa unawakaribishaje na wako mbali kihivyo? Na wewe unakaa wapi kwanza hebu nambie
 
Hata umfanyeje kama wa talaka ni talaka tu hawana formula hawa viumbe.. Preta hujambo?? Mimi ni yule yule tuliesoma wote kidato kimoja hahahahaaaa lol!! RFG!!
 
Back
Top Bottom