No Doctors in JF, Mnakatisha watu Tamaa tu




Maswali magumu
 



The guy has attended the regional hospital akapewa dawa za alegi na anasema amepona vizuri,
Sasa nashangaa ubishi ni wa nini??????
 
Uliambiwa hapa JF, ni kituo cha Afya, Zahanati au Hospitali?!
Acha mambo ya ubwete, nenda kalipie gharama stahili utibiwe kwa usahihi sehemu husika...


Bwete mwenyewe,
Kwani hii jukwaa iliwekwa kwa madhumuni gani????
Punguza hasira,
inaonyesha una akili fupi,
kwani lazima uchangie kama hujui chochote?????
 
@Chimps ulitaka ujitibu humu jf usiende hospitali ?dactari akutibu hajakuona?basi tungekuwa na mobile treatment unaumwa unampigia dr. anakutibu ukiwa home fungua akili yako na usicheze na proffesional za watu watu wakae darasani 5/6/7yrs wewe uje ujifanya unajua hapa kuliko wao namkubali sana huyu mkuu hippocratessocrates anaushauri mzuri mtu akikushauri uende hospitali ni ushauri mzuri we ulitaka utibiwe bure hapa sasa si unaona dr.kaona kadushelele kako umepona sasa mficha uchi hazai
 
Bwete mwenyewe,
Kwani hii jukwaa iliwekwa kwa madhumuni gani????
Punguza hasira,
inaonyesha una akili fupi,
kwani lazima uchangie kama hujui chochote?????
Chimps ulitaka ujitibu humu jf usiende hospitali ?dactari akutibu hajakuona?basi tungekuwa na mobile treatment unaumwa unampigia dr. anakutibu ukiwa home fungua akili yako na usicheze na proffesional za watu watu wakae darasani 5/6/7yrs wewe uje ujifanya unajua hapa kuliko wao namkubali sana huyu mkuu hippocratessocrates anaushauri mzuri mtu akikushauri uende hospitali ni ushauri mzuri we ulitaka utibiwe bure hapa sasa si unaona dr.kaona kadushelele kako umepona sasa mficha uchi hazai
 

Madaktari hawategemei material/knowledge ya kwenye google, imewekwa simple sana kwa watu wa kawaida kama wewe Chimps kuelewa, shortly material nyingi za kwenye google zipo shallow. Kuna standard medical text books ambozo huwezi kuzipata kwa kugoogle.

Hippocratessoccrates, Mupirocin, Freea Agyeman, Mawenzi na wengine wamekupa ushauri mzuri tu, naomba zingatia,
 
Kuna watu ni wabishi! Eti google? Google ambayo hata mwanafunzi wa sekondari anafungua ndo daktari aitumie kutibu watu? Kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…