Chimps
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 559
- 356
- Thread starter
- #21
Mkuu Chimps either hujaelewa au hutaki kuelewa! Usipende kuongea vitu usivyovijua, na kama unavijua lete takwimu na uthibitisho TU, utaeleweka lakini si kwa kubeza au namna zinazofanana na hiyo.
Suala hapa tunaloongelea hapa ni kwamba kulingana na thread uliyoianzisha mwenyewe. kusema kuwa tatizo lile katika thread ya "Ugonjwa huu ni kitu gani" kuwa ni Reaction ya dawa! SASA nijibu yafuatayo;
1.Mechanism gani inafanya Sulfa/Sulphur kufanya reaction katika Uume TU?!!
2. Je, unajua uwiano wa makadirio wa watu wenye reaction na Sulfa contain drugs katika General population?
3. Je, Unadhani ni watu wangapi kati ya hao wenye kuwa na "reaction katika sehemu zao za siri pekee"?
4. Kwa Uzoefu(experience kama mwananchi wa kawaida) umekutana nao wangapi?
5. Ulisema ni allergic reaction ya dawa, Je unaweza kutupatia cardinal features za allergy?
Nijibu maswali hayo hapo juu kisha tuendelee lakini pia
Nilikukumbusha "Disease dont read books" and not "Doctors cant know diseases by reading books" jifunze kusoma between the lines...Nilisema kauli ya kwanza na wewe umetafsiri kama kauli hiyo ya pili!
na kuna tofauti kati ya KUSOMA na KUSOMA SOMA..the later being kusoma bila mpango/ovyo ovyo.
Maswali magumu