No Excuse: Try Again, Mangungu na Kocha waondoke Simba Sc

Simba wakiulizwa ni kwa nini huwa wanafungwa na Yanga kila siku👇😁😁😁
 
Watu wapumbavu sana,hao wote wanaoujaza uwanja wana kadi?
 
Sina maneno mengi. Maandalizi,mipango ya mechi na mechi yenyewe yamefanyika hadharani kila mtu ameona. Mpira una matokeo matatu,lakini sisi sio wa kufungwa kila siku na Yanga.

Kocha anafanya majaribio kwa Yanga,akaingia bila kuheshimu mpinzani.
Mnatuhujumu waziwazi. Mnamuacha kocha anajifanyia mambo ya kijinga kabisa. Kwa hiyo Mangungu, Try Again, Kocha, Matola wote hatuwataki.

Nimechafukwa sana leo
Waondoke haraka ....
 
Madhara ya kujulia mpira ukubwani
 
Si ungemalizia na CEO kabisa?
 
Back
Top Bottom