‘No fear, No hate’ ni Slogan ya kinafiki inayowatesa sana waliyoianzisha

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Huenda hawakujua kwamba wanajiandalia mateso makali na mahangaiko yasiyo na faida wanayopitia hivi sasa kisiasa.

Halafu mbaya zaidi,
nonsense ya No reform No elections ndio inawaathiri na kuwamaliza vibaya zaidi kisaikolojia. Yaani moja haikai, mbili haikai kwao. Ni full mihemko na makasiriko useless, dhidi ya alie na maoni tofauti na yao.

Yaani wanaonekana dhahiri kama wehu tu saivi. Hali hiyo imefanya wakose agenda, na sasa wanaongozwa na chuki na makasiriko tu, hususani wakiwa kwenye mikutano yao ya hadhara, ya kuomba kuchangiwa pesa za matumizi ya familia ya viongozi wao ambao kiukweli wanateseka na kufedheheka sana kiuchumi.

Kwa namna wanavyoteseka sasa physically and mentally politically speaking, Je, wanaweza kususa uchaguzi tena?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
My Son drink water upunguze machungu - Zhakia Meghji
 
Mbona ni kama wewe ndo unateseka zaidi?
 
Ila mnajitapa kweli mkuu.okay.
hebu waeleze wadau wa JF kwa kina kifupi gentleman kuhusu hili bila kuweweseka,

unafiki wa No fear No hate na ile nonsense ya No reform No elections imekaathiri kwa kiasia gani kisaikolojia mpaka sasa unaona kila kitu ni kibaya gentleaman?

eleza kwa kifupi tu, usiogope :pedroP:
 
My Son drink water upunguze machungu - Zhakia Meghji
Gentleman,
unaweza kueleza jinsi ulivyoathirika baada ya kubebwa ufala wa kifikra na nonsense ya no reform no elections?

hali yako ya chuki na mihemko dhidi ya walioshiriki uchaguzi imepanda kiasia gani? :pedroP:

na je,
utakubali kubebwa ufala wa kifikra kijingajinga namna ile tena kweli? :pedroP:
 
Mbona ni kama wewe ndo unateseka zaidi?
kivip kwa mfano gentleman?

mimi ni mpiga kura, nimepiga kura na ninawawajibisha niliowachagua ipasavyo, nawezaje kuteseka?

nadhani ambao kwa makusudi walisusia uchaguzi kwa kubebwa ufala wa kifikra kwa slogan nonsense kama no reforms no elections, na uchaguzi ukafanyika kama kawaidi ndio sasa wanapitia maumivu makali ya kisaikolojia na kukosa vyote, okey?

i hope nawe ni miongoni mwa victims, right? :pedroP:

siasa ni sayansi gentleman.
 
Huenda hawakujua kwamba wanajiandalia mateso makali na mahangaiko yasiyo na faida wanayopitia hivi sasa kisiasa.

Halafu mbaya zaidi,
nonsense ya No reform No elections ndio inawaathiri na kuwamaliza vibaya zaidi kisaikolojia. Yaani moja haikai, mbili haikai kwao. Ni full mihemko na makasiriko useless, dhidi ya alie na maoni tofauti na yao.

Yaani wanaonekana dhahiri kama wehu tu saivi. Hali hiyo imefanya wakose agenda, na sasa wanaongozwa na chuki na makasiriko tu, hususani wakiwa kwenye mikutano yao ya hadhara, ya kuomba kuchangiwa pesa za matumizi ya familia ya viongozi wao ambao kiukweli wanateseka na kufedheheka sana kiuchumi.

Kwa namna wanavyoteseka sasa physically and mentally politically speaking, Je, wanaweza kususa uchaguzi tena?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Wewe ukiambiwa "No reform no election " unaelewa nini?
 
Sio ajabu. I think I am wasting my valuable time kujadili na wewe
sure gentleman,
you have wasted your voting rights ni oct. 2025,
and if you are not careful enough, political bandits can manipulate you, and loose them again in oct.2030.

politics is science :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom