My Son drink water upunguze machungu - Zhakia MeghjiHuenda hawakujua kwamba wanajiandalia mateso makali na mahangaiko yasiyo na faida wanayopitia hivi sasa kisiasa.
Halafu mbaya zaidi,
nonsense ya No reform No elections ndio inawaathiri na kuwamaliza vibaya zaidi kisaikolojia. Yaani moja haikai, mbili haikai kwao. Ni full mihemko na makasiriko useless, dhidi ya alie na maoni tofauti na yao.
Yaani wanaonekana dhahiri kama wehu tu saivi. Hali hiyo imefanya wakose agenda, na sasa wanaongozwa na chuki na makasiriko tu, hususani wakiwa kwenye mikutano yao ya hadhara, ya kuomba kuchangiwa pesa za matumizi ya familia ya viongozi wao ambao kiukweli wanateseka na kufedheheka sana kiuchumi.
Kwa namna wanavyoteseka sasa physically and mentally politically speaking, Je, wanaweza kususa uchaguzi tena?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Mbona ni kama wewe ndo unateseka zaidi?Huenda hawakujua kwamba wanajiandalia mateso makali na mahangaiko yasiyo na faida wanayopitia hivi sasa kisiasa.
Halafu mbaya zaidi,
nonsense ya No reform No elections ndio inawaathiri na kuwamaliza vibaya zaidi kisaikolojia. Yaani moja haikai, mbili haikai kwao. Ni full mihemko na makasiriko useless, dhidi ya alie na maoni tofauti na yao.
Yaani wanaonekana dhahiri kama wehu tu saivi. Hali hiyo imefanya wakose agenda, na sasa wanaongozwa na chuki na makasiriko tu, hususani wakiwa kwenye mikutano yao ya hadhara, ya kuomba kuchangiwa pesa za matumizi ya familia ya viongozi wao ambao kiukweli wanateseka na kufedheheka sana kiuchumi.
Kwa namna wanavyoteseka sasa physically and mentally politically speaking, Je, wanaweza kususa uchaguzi tena?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
hebu waeleze wadau wa JF kwa kina kifupi gentleman kuhusu hili bila kuweweseka,Ila mnajitapa kweli mkuu.okay.
Gentleman,My Son drink water upunguze machungu - Zhakia Meghji
kivip kwa mfano gentleman?Mbona ni kama wewe ndo unateseka zaidi?
Wewe ukiambiwa "No reform no election " unaelewa nini?Huenda hawakujua kwamba wanajiandalia mateso makali na mahangaiko yasiyo na faida wanayopitia hivi sasa kisiasa.
Halafu mbaya zaidi,
nonsense ya No reform No elections ndio inawaathiri na kuwamaliza vibaya zaidi kisaikolojia. Yaani moja haikai, mbili haikai kwao. Ni full mihemko na makasiriko useless, dhidi ya alie na maoni tofauti na yao.
Yaani wanaonekana dhahiri kama wehu tu saivi. Hali hiyo imefanya wakose agenda, na sasa wanaongozwa na chuki na makasiriko tu, hususani wakiwa kwenye mikutano yao ya hadhara, ya kuomba kuchangiwa pesa za matumizi ya familia ya viongozi wao ambao kiukweli wanateseka na kufedheheka sana kiuchumi.
Kwa namna wanavyoteseka sasa physically and mentally politically speaking, Je, wanaweza kususa uchaguzi tena?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Sio ajabu. I think I am wasting my valuable time kujadili na wewekususa uchaguzi
sure gentleman,Sio ajabu. I think I am wasting my valuable time kujadili na wewe