Huenda hawakujua kwamba wanajiandalia mateso makali na mahangaiko yasiyo na faida wanayopitia hivi sasa kisiasa.
Halafu mbaya zaidi,
nonsense ya No reform No elections ndio inawaathiri na kuwamaliza vibaya zaidi kisaikolojia. Yaani moja haikai, mbili haikai kwao. Ni full mihemko na makasiriko useless, dhidi ya alie na maoni tofauti na yao.
Kwa namna wanavyoteseka sasa physically and mentally politically speaking, Je, wanaweza kususa uchaguzi tena?π
Mungu Ibariki Tanzania