Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
si useme tatizo lako sio dada yake bali ni udomo zege wako....:shetani:
anza ku datenae kwa kumuita
aje ulipo kama ni bar au cinema
unaanza out nae taratibu
jifanye na wewe humjui dada yake
siku ikijulikana jifanye hukujua na huoni why usimuoe kwa ajili hiyo
mahabuba wangu nimekumiss niaje
Yaani naona kama muda hauendi vile
Huyu mwache kwanza maana naona ndio kwanza anaingia kwenye anga za mapenzi bado kabisa hajajua kuwa mapenzi yanaendaje
Zile mbinu ni za hali ya juu sana
Mkata kiu umebagua na wataka tu wa kaka/baba hapa. But nina la kusema pia tokana na mtazamo wangu. Hapa nadhani haijalishi tena ni kwanini kakako alimbwaga huyo dadake unae m admire. Inaweza onekana mzaha, ila from experience na the way nimeona kwa wengi Mapenzi hayawi in Isolation. Kwamba maadamu wewe na huyo dada mwapendana basi inatosha . Hapana.
Kama unampenda na una hope na Imani kabisa kua unafikiria siku moja umuoe then kwa kweli inabidi mresolve hio issue ya chuki kwanza. Waweza hata mtafuta dadake kuomba uongee nae kuona ana msimamo gani dhidi ya mawazo yako. Kama ni kwa ajili tu haya mambo ya Girlfriend na Boyfriend na hamna hakika na the future of the relationship then naamini hapo mwaweza ingia katika mahusiano. Hata hivo hapa umetoa hali halisi .. Ila kama hutajali MKATA KIU wewe shida ipo wapi saana? Ni kipi cha kupa hofu ya kukwamisha hayo mahusiano?
bishanga hata teknik za kutongoza nshasahau,maana ni long long time,labda niseme tu..follow your instinct na usikimbilie mawazo ya kuoa afterall you are only 25,subiri ufikishe kwenye 30.
Watu waongo humu jf.huyu jamaa anataka tu watu wajue kuwa ana gari na job,hzo zngne ni mbwembwe tu.
Mkuu umesema tusipite but tuko na mapoint kibao ambayo tunajua ndo udhaifu wetu.. .nimechungulia kwi kwiiii hope sijashikwaaaaa
Mkata kiu umebagua na wataka tu wa kaka/baba hapa. But nina la kusema pia tokana na mtazamo wangu. Hapa nadhani haijalishi tena ni kwanini kakako alimbwaga huyo dadake unae m admire. Inaweza onekana mzaha, ila from experience na the way nimeona kwa wengi Mapenzi hayawi in Isolation. Kwamba maadamu wewe na huyo dada mwapendana basi inatosha…. Hapana.
Kama unampenda na una hope na Imani kabisa kua unafikiria siku moja umuoe then kwa kweli inabidi mresolve hio issue ya chuki kwanza. Waweza hata mtafuta dadake kuomba uongee nae kuona ana msimamo gani dhidi ya mawazo yako. Kama ni kwa ajili tu haya mambo ya Girlfriend na Boyfriend na hamna hakika na the future of the relationship then naamini hapo mwaweza ingia katika mahusiano. Hata hivo hapa umetoa hali halisi….. Ila kama hutajali MKATA KIU wewe shida ipo wapi saana? Ni kipi cha kupa hofu ya kukwamisha hayo mahusiano?
Ni kweli AshaDii, ktk long term relatioship Love is not the only thing, there must be a mutual understanding between families too. niliwahi hudhuria harusi moja wazazi wa pande zote mbili waligoma kuhudhuria sasa Bw na Bi harusi ni vilio tu, wadogo wa bi harusi walifanya kutoroka nyumbani kwa kuruka ukuta ili kwenda harusini. First thing first wekeni mambo sawa kwanza vinginevyo mnaweza kuingia kwenye maumivu makali.