Sashel
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 212
- 84
Sister ashadii asante kwa mchango, nachoogopa ni kuwa dada yake au ndugu zake wakijua mapema wakati nipo kwenye aproaching stage kumpata itakuwa ngumu, as her sister na bro ilikuwa si mchezo kuachana kwao dada alitaka kumeza sumu, we fikiria alitumiwa gar na bro walipoachana alikuja kulibwaga home na makorokoro yote aliyabwaga getini, na alijua dada yangu ndo chanzo, we stay in the same area but sio karibu kivile, so sister yake alimpigia simu dada yangu akimtishia kumuua na dada akaenda police yaan ni mambo mengi sana yalitokea, so nina uhakika huyu binti hajui vizur as amespend boarding mda mwingi but anajua dada yake alipatwa na balaa na sipati picha akijua mimi natoka humo
Trust me she knows every little detail..remember shes her sister kuwa boarding hakuzuii yeye kujua kinachoendelea home. be crystal and clear either she takes you or she toss you, na kwa izo issue zilizotokea lazima upate kigugumizi kama sio ububu