no girls allowed, strickly for men

no girls allowed, strickly for men

Sister ashadii asante kwa mchango, nachoogopa ni kuwa dada yake au ndugu zake wakijua mapema wakati nipo kwenye aproaching stage kumpata itakuwa ngumu, as her sister na bro ilikuwa si mchezo kuachana kwao dada alitaka kumeza sumu, we fikiria alitumiwa gar na bro walipoachana alikuja kulibwaga home na makorokoro yote aliyabwaga getini, na alijua dada yangu ndo chanzo, we stay in the same area but sio karibu kivile, so sister yake alimpigia simu dada yangu akimtishia kumuua na dada akaenda police yaan ni mambo mengi sana yalitokea, so nina uhakika huyu binti hajui vizur as amespend boarding mda mwingi but anajua dada yake alipatwa na balaa na sipati picha akijua mimi natoka humo

Trust me she knows every little detail..remember shes her sister kuwa boarding hakuzuii yeye kujua kinachoendelea home. be crystal and clear either she takes you or she toss you, na kwa izo issue zilizotokea lazima upate kigugumizi kama sio ububu
 
Trust me she knows every little detail..remember shes her sister kuwa boarding hakuzuii yeye kujua kinachoendelea home. be crystal and clear either she takes you or she toss you, na kwa izo issue zilizotokea lazima upate kigugumizi kama sio ububu

Sasa sister unanishauri vipi? Ijumaa nataka nikamchomoe hostel indirect bila yeye kujua nikaanze first date kwa umakini wa hali ya juu, wasi wasi wangu hizo sera must be unique as per this situation, nipo point za weakness zenu hata kama kuna ugomvi
 
Sister nimekupata but nachohitaji sasa ni to win her heart before her sister start to interfr, I want to get her yes before her sister knows, sisi matatizo yaliyopo sio ya familia as even her sister anaongea na mama tu as mama alikuwa upande wake mpaka mwisho, na hata alivyorudisha vitu alivyopewa na bro baada ya kuachana mama alimpigia magoti kumuomba avibebe na kwa heshima that girl did, and she loves my mother a lot, tatizo kwetu sisi wadogo hatupendi as anaamini ndo source ya matatizo sio wazaz, help me to win her heart kimawazo


whether she will say yes or no, among others I see two main things: first how she takes what happens to her sister and second is how are you going to present yourself. There is no magic to that be you and speak what you feel, in the end she will make a decision not only according to what you have said but more on how she feels about you.
 
Sasa sister unanishauri vipi? Ijumaa nataka nikamchomoe hostel indirect bila yeye kujua nikaanze first date kwa umakini wa hali ya juu, wasi wasi wangu hizo sera must be unique as per this situation, nipo point za weakness zenu hata kama kuna ugomvi

Well be friendly, joke around, make her comfortable that she can start trusting you inspite of what happened to her sister cause probably it pop-up whenever she see you, so play that card very well, chances are she may start opening up herself and reveal what shes thinking about you being friendly and all that..then you can know how to take over.

Nb. do not tell her how you feel about her in a first day she will run for her life..lol
 
hapo hakuna tatizo
msichana ukimkoleza hata uwe ulimtukana baba yake utasamehewa

wewe anza kumkoleza taratiibu

Watu wengine bwana, wengine mtaishia kuwakuwadia watoto wenu + dada zenu..
 
Funguka sister maana mdogo wako nimeshikwa kila nikipanga sera nahisi a big NO is coming, mpaka nimewaza nimtafute dada yake kwanza but nafsi inasita, nipe weakness zenu niguse wapi ninapoanza sera

Sasa hizo weakness za madada na mkasa wako wapi na wapi? Unajichanganya mwenyewe.. kuwa muwazi, HUJUI KUTONGOZA?? sio kuleta pwagu na pwaguzi hapa
 
nakushaur utafute msichana mwengne cz u wil neva go that far..the early the beta..NB am sory i am a gal.
 
niaje ariff mbona unahanya bamsi wakati unayo defender....hebu mtokee huyo ndushu uanzage na vi-tarehe na maurafiki muwe ma-deep friend....unapiga kitu cha free style, 1step @ a time.....au unapiga zile enzi za Juliusi....ukiwaka na ndushu unatangulia home kwao unaongea na washua wake unatangaza uchumba....alafu braza yako na sisteri wake ni episode tofauti haikuhusu....kuwa objective arifu unataka manzi jitume....
 
acha balehe zako
mimi nafahamu mtoto akianza balehe huwa ndiyo muda wa kujifunza kutongoza .ukitaka kupata mchango mzuri wafuate watoto wa darasa la saba au form one maana nao ndiyo wanaanza balehe hapo mutapeana mawazo
 
anza ku datenae kwa kumuita
aje ulipo kama ni bar au cinema
unaanza out nae taratibu
jifanye na wewe humjui dada yake
siku ikijulikana jifanye hukujua na huoni why usimuoe kwa ajili hiyo
mweeeeeeeeeeeeeeeee! mabinti zetu sijui tuwafiche wapi?
 
Wewe si umeambiwa ni kwa wanamume tu! Mbona wanawake wa siku hizi mnapenda kurukia mambo?

Na wewe muanzisha mada, hili sio jambo la kutuita wanaume. Ni jambo la kujadili na wavulana wenzako na vidada visivyo na kazi maalum. Mi nilijua kuna ishu ya kiume kweli, kumbe ni balehe zinasumbua watoto

teh teh teh! Bora we umesema.
 
Heshima kwenu brothers and poleni na majukumu,

Nahitaji kushare mawazo na wenzangu naomba wapondaji wakae kimya is only ushauri needed,
Mi ni kijana wa 25 yrs graduate and working somewhere in town, kuna msichana around 21yrs I have interest on her but nakosa kwa kuanzia kutokana na scenario behind us, huyo binti yupo chuo first year now hapa dar, nakosa pa kuanzia kwa sababu my brother alikuwa anadate na dada yake na alimkuja kumtosa vibaya na kuoa mwingine na hii alileta kama chuki kwa familia yetu lakini ukweli ye ndo sababu as alikuwa anacheat wakati bro yupo nje kimasomo na anahisi si ndo tulisababisha asiolewe, sasa huyu binti hajui kama mimi ni mdogo wa X aliyemfanya dada yake atake kujiua those days,

Na mimi naamini sina nia mbaya na binti hiyo if God wishes tujenge nae familia, nashindwa nimset vp atleast for a date as sitaki dada yake ajue hadi mambo yatapochanganya, I think ninavyo vigezo vya college ladies vya kijinga as a car, a job, etc but nakosa point as her sister hanipendi, huyo binti nimekutana nae juzi nikafanikiwa kupata namba sasa next step ndo issue as dada yake akijua ni balaa

Wadau tupeane tips nitoke vipi

Uoga wako ndio umasikini wako...
SOURCE: Mzee Kassim Mohamed na kati ya Gerezani (Mungu amrehemu)
 
aisee bro wako na sista wake walishaharibu....mjaribu tu uanze nae lakini akigundua we ni nani exactly itakua issue mtagombana tu...
 
mfanye rafiki yako kwanza, then mueleze kilicho ujaza mtima wako
 
Unataka kutuambia utaduu nae baada ya harusi? Mbona unaguarantee ndoa ivo? Je ukikuta amekeketwa? Kule chini kunatema utamwoa tu ivo ivo?

Kaka polepole, sijasema nitamuoa soma vizuri kaka, nimesema if God wishes tuje kujenga familia as anything can happen in life, nime date na different girls na sipati shida kuwapata but kwa huyu binti feelings nilizonazo ni tofauti nahisi kabisa ni zaidi ya kumtaman that's why nakosa step za kuanzia kutokana na situation iliyopo,

Na hiyo ya kusema simjui dada yake nitaonekana mnafiki as enzi hizo bro akitutoa out like club or beach alikuwa anampitia her sister tunatoka nae na kwenye my graduation mzumbe her sister ndie aliyeshughulikia kuandaa my party a lot akishirikiana na dada yangu kipindi bro yupo nje, so nitasema vipi simjui
 
Back
Top Bottom