Mkata kiu umebagua na wataka tu wa kaka/baba hapa. But nina la kusema pia tokana na mtazamo wangu. Hapa nadhani haijalishi tena ni kwanini kakako alimbwaga huyo dadake unae m admire. Inaweza onekana mzaha, ila from experience na the way nimeona kwa wengi Mapenzi hayawi in Isolation. Kwamba maadamu wewe na huyo dada mwapendana basi inatosha…. Hapana.
Kama unampenda na una hope na Imani kabisa kua unafikiria siku moja umuoe then kwa kweli inabidi mresolve hio issue ya chuki kwanza. Waweza hata mtafuta dadake kuomba uongee nae kuona ana msimamo gani dhidi ya mawazo yako. Kama ni kwa ajili tu haya mambo ya Girlfriend na Boyfriend na hamna hakika na the future of the relationship then naamini hapo mwaweza ingia katika mahusiano. Hata hivo hapa umetoa hali halisi….. Ila kama hutajali
MKATA KIU wewe shida ipo wapi saana? Ni kipi cha kupa hofu ya kukwamisha hayo mahusiano?